@richardngailla: Uamuzi wa Dk. Emmanuel Nchimbi kuandika barua ya kujiuzulu umakamu wa rais leo asubuhi na kuthibitishwa na Rais Samia Suluhu Hassan baadaye jioni leo ni tukio la pili kushuhudiwa kwa Makamu wa rais kujiuzulu akiwa madarakani. Taarifa za kujiuzulu kwake ilisambaa kuanzia leo asubuhi katika mitandao ya kijamii na kuwekwa kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram akisema amejiridhisha pasipo shaka kuwa Rais Samia anatamani mabadiliko, hivyo ameamua kutimiza ahadi yake. Tulio kama hili la Nchimbi linafanana na lililotokea mwaka 1984 baada ya aliyekuwa Makamu wa rais, Abood Jumbe kujiuzulu nyadhifa zake zote za kisiasa.
TANZANIA, MSIPOSIMAMA NA KUAMKA SASA, HUYO MZAZIBAR ATAWAMALIZA WOTE!
Wananchi, huu si wakati wa kukaa kimya. Tunapaswa kujiuliza kwa nini huyo Mzazibar alikuwa akifanya vikao vya siri na Paul Kagame wa Rwanda, na ni mbinu gani walizokuwa wakijadili kuhusu namna ya kuwabana na kuwakandamiza, na kuumiza Watanganyika—kama inavyodaiwa kuhusu matukio yaliyotokea nchini Congo wakati wa utawala wa Joseph Kabila na namna PAUL KAGAME alivyo endesha mauwaji ya kikatili DRC,
Maswali yanahitaji majibu:
* Emmanuel Nchimbi yuko wapi?
* Humphrey Polepole yuko wapi?
* Kwa nini wananchi hawapewi majibu ya wazi kuhusu jambo hili?
MWANANCHI, SIMAMA!
Wakati umefika wa kudai ukweli, uwajibikaji na uwazi. Tusikae kimya mbele ya jambo linalohusu mustakabali wa nchi yetu.
SIMAMA NA MZALENDO HUYU.
TANZANIA NI YETU SOTE.
2026-09-12 21:02:57
1
To see more videos from user @richardngailla, please go to the Tikwm
homepage.