Ningewaambia ya mwamposa lkn sina mwanasheria😁😁😁. Simuamini Apostle yeyote mimi
2026-08-26 04:39:27
307
Bably :
kwan kuna pastor mkweli???
2026-08-25 21:33:27
110
user3847507600845 :
Namshukuru Mungu kwa kunijaalia kua Muisilam
2026-08-26 05:57:52
136
Sauti ya ndani :
Ohooooo tumeshapigwa 😳😳😳
2026-08-30 03:19:20
0
Antonia Soka :
Gucci🚫Gucui✅️
2026-08-25 21:05:03
39
team Tz :
only Allah is God and king 👑😍😍😍
2026-08-26 06:00:34
64
RichOwner ♪ :
black society
2026-08-25 21:12:52
0
Frank Godfrey :
leo nimekuwa wakwanza mkuu
2026-08-25 19:19:58
26
Joseph Ndas :
ko tukusaidie nn
2026-08-25 21:12:22
12
𝐷𝑒𝑒_🦁 :
hata Kwa kuhani Mwacha haya yanatokea watu wanaandika taarifa zao
2026-08-26 02:38:41
21
Mr android and car Accesories :
Mathayo 24:23-26
"Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: 'Kristo yuko hapa' au 'Yuko pale,' msimsadiki. Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu. Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati. Basi, wakiwaambieni, 'Tazameni, yuko jangwani,' msiende huko; au, 'Tazameni, amejificha ndani,' msisadiki
2026-08-26 05:40:58
40
Fruit Ernest :
religion is business
2026-08-26 23:29:39
6
🇨🇦Çhúgã_mãñ🇹🇿 :
unajuaje roho wa mungu ndio mke wake
2026-08-26 07:22:10
21
RABIA_HEENA🖤 :
ila ana akili kubwa
2026-08-25 21:17:38
30
eddimaddy :
mpk lini tutaachwa kudanganywa
2026-08-25 21:10:53
11
Lucia Benedict :
kumbe kazi rahisi sana 😂😂😂
2026-08-26 09:29:29
7
Randomguy✌️ :
issue ilikuwa deep 🔥🔥
2026-08-25 19:21:46
17
Manka Mbuya :
kuna mtumishi mmoja kibaha aliwai kufanya hivi yeye alikuwa anatumiwa msg na hawa wasaidizi wake kwenye kasimu kadigo na ulikuwa ukifika hapo kwenye hilo kanisa unaandika jina lako namba yako ya simu na matatizo yako then badae nikagundua anasoma msg kwenye simu kisha anakuita yaani anafanya kama hivyo ulivyo sema
2026-08-26 05:42:29
9
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
KANISA HALINA NDOA HALINA UBATIZO LENYEWE NI MIUJIZA NA SIASA😅😂
2026-08-27 20:56:52
6
heem Izone🗝 :
Nakumbuka mwaka 2006 niliitwa na bibi yangu kijijini PEMBA aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-08-25 20:33:25
7
jeddyNation :
NINACHOSHUKURU KWA MWAMPOSA YEYE NI TOFAUTI KWANI MWISHONI MWA IBADA YEYE HUSALISHA WATU SARA YA TOBA WATUBU DHAMBI ZAO WAMPOKEE YESU KRISTO KWENYE MAISHA YAO PIA ANAKEMEA DHAMBI WATU WAACHE NJIA ZAO MBAYA KIKUBWA ZAIDI ANAFUNDISHA NENO NA NENO NDIO YESU KRISTO KUPITIA NENO NDIPO KUNA UPONYAJI NA ANAHIMIZA WATU WALISOME NENO KWANI NDIO MSINGI WA MAMBO YOTE HATA YEYE KUWA MWAMPOSA SABABU NI NENO.HYO KUSEMA WATU WANGU WANAPOTEA KWA KUKOSA MAAARIFA SASA MAARIFA YENYEWE NI NENO LA MUNGU NA ILI UWE NA MAARIFA HEKIMA YA KUTOSHA NENO LA MUNGU LIJAE SANA MOYONI MWAKO.AMEN
2026-08-26 20:49:39
2
itsmonna💕 :
Baba kuna ushuhuda huku🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 20:04:01
1
Zerobudget Emcee :
dini ni serious business
2026-08-26 20:42:44
3
Mudy2022🇹🇿 :
😂😂😂 kuna watu atuwezi waona kwenye Comment leo
2026-08-27 05:31:12
1
To see more videos from user @5chancee_1, please go to the Tikwm
homepage.