@stevetobsmedia: Waite waimbaji wote—waambie wamepata wakili wao msomi! 🔥🎶 Iwe wewe ni wa kwaya, band, solo artist, Praise & Worship Team au hata kwaya ya familia, njooni huku! Kuna mtumishi wa Mungu ambaye ametambua thamani yenu, ameona mchango wenu katika huduma na hajakaa kimya. Ni wakati wa sauti zenu kusikika, vipawa vyenu kuthaminiwa na huduma yenu kupewa nafasi inayostahili. Waimbaji wote, karibuni! Mna mtu anayesimama upande wenu. ❤️🔥🎤 #mungukwanza #ChristinaShusho #DreamersCenter #NenoLaMungu #Huduma #Injili #yeshua #jesus #jesuslovesyou #passover2025 #easther #jesusisking #masia #samsasali #ibada #women #ccm #chadematz #act #pricillashirer #girlfriends #boyfriends #womenempowerment #womenentrepreneur #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyatiktokers #tanzania🇹🇿 #daressalaam #kariakoo #dodoma #mbeya #arusha #mwanza #kenyan #nairobi #kampala #kigali #rwanda #bunjumbula #goma #congo #congolese #uganda #africanart #girlfriends #boyfriends #womenempowerment #womenentrepreneur #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyatiktokers #kenyatiktok #daressalaam #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪nairobi #tiktokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #christianfashion #Buckethead #nairobitiktokers #ambwenemwasongwe #africa #gladnessmwanga #farajacute #5star #women #samsasali #ibada #zingatiaibada #farajacute #gladnessmwanga #kerinelife#tiktokkenya🇰🇪 ###tanzaniantiktok🇹🇿 ##Buckethead #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #daressalaam
Steve Tobs Media
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 19:57:34 GMT
Music
Download
Comments
Riziki Paulo :
nice father
2026-08-27 07:42:39
0
Sounds Engineer :
Asante 🙏
2026-08-27 10:34:47
0
adam chauna :
amina baaaba umetutetea sanaa
2026-08-26 11:52:06
9
ELISHA🌱 :
AFADHALIIIII🤍🤍
2026-08-26 18:22:31
4
Agness Nkugwe :
watakuelewa waimbaji tu hapa.
2026-08-26 02:32:13
5
MAN OF GOD MBEZI :
Jamani mm niseme Asante Roho Mtakatifu kwa kusema nasi.
2026-08-26 09:45:08
7
Nicah Mwagala :
ngoja niku follow sasa
2026-08-26 19:23:47
1
Mwl Nathaniel Deus :
kutoa Waimbaji??? what are you taking Man of God. kwamba bila waimbaji Mungu anatoroka?? sio kwamba hawadhaminiwi Wanakwaya WENGI wana viburi
2026-08-26 09:35:52
0
Tunathamani sana, by the way Mungu wetu ndiye anajua thaman ya sadaka yetu. so don't complain 😂😂
2026-08-26 23:48:15
0
son of God :
Kabisa Baba yangu umeongea point kubwa sna🙏
2026-08-26 11:50:00
2
Baluhi Balinago :
mzee uko sawa kabisa
2026-08-26 12:05:47
2
mina kiwanga :
Mungu akubariki pr Bora hata wew umetambua huduma yetu
2026-08-26 11:18:41
3
Seni :
Wapi hawathaminiwi?
2026-08-26 12:04:41
0
rose_mwinuka70 :
ukweli baba neno
2026-08-26 06:33:14
3
KITOVOICE MEDIA :
kwel kwel kwel kwel kwel tumepata mtetezi hukuuuuuu🔥🔥🔥
2026-08-26 06:15:33
3
Elih danih :
mlindeni huyu mzee alafu mpeni soda ntalipa😂
2026-08-26 12:17:45
3
Servant moo🥰 :
Hatimae tumefikiwa
2026-08-26 09:01:16
1
user7845986088997 :
asabte baba waimbaji tunasemwa kwa mabaya tu🙏🙏😭mwenyez MUNGU akibariki san ,,muda , kazi hatujali ila Mungu kwanza
2026-08-26 18:35:02
1
K pro :
kwa mara ya kwanza nasikia waimbaji wanasemewa vizuri
2026-08-26 15:48:17
1
user7319126820929 :
mzeee umenigusa sana maana nilikua naamuka ucku wa manane kufunga vyombo yani unahangaika uck kucha lakin mh
2026-08-26 12:12:12
2
Samson Humbe :
Hakika kabisa jamani
2026-08-25 20:09:02
1
Veridiana Kimario :
acha tu naonaga hata kwaya zetu tunachopitia ni ngumu kuelewa sana kama sio mwimbaji
2026-08-26 12:06:39
2
katunzi music :
ubarikiwe mtumishi wa mungu
2026-08-27 07:35:19
0
Deborah J Mtimi :
bora tumekumbukwa
2026-08-27 08:57:50
0
christinawillson7 :
kwel mchungaji kabxa
2026-08-25 20:00:42
1
To see more videos from user @stevetobsmedia, please go to the Tikwm
homepage.