@legendatre: Tukio la kushangaza limezua gumzo kubwa baada ya nyani kupanda juu ya mnara wa msikiti na kuripotiwa kuharibu kipaza sauti (spika) kinachotumika kutoa Adhana. Kulingana me taarifa, wakazi wa eneo hilo walikusanyika kwa haraka kushuhudia tukio hilo lisilo la kawaida. Bahati nzuri, hakuna mtu aliyejeruhiwa, na baadaye mipango ilifanyika ili kukarabati kifaa hicho kilichoharibika. Video ya tukio hilo imesambaa kwa kasi mtandaoni, huku watazamaji wengi wakilitaja kuwa miongoni mwa matukio ya wanyamapori yasiyototarajiwa kabisa kutokea maeneo ya mjini.
😁😅😅😅😅😅😅😁😁😁😁😁😅😅😅😅😅😅😅😅😁😁😁😅😅😅😅😅😁😁 Nachoka me 😂😂 msikasirike hata nyinyi mnacheka tunajua 😂😂😂
2026-08-26 03:23:16
7
YUSSUF KHAMENEI :
mnaoamini ni Ai gonga like hapa
2026-08-26 03:28:55
23
universal native :
pia sisi tumechoka na hizo kelele bana
2026-08-26 03:33:57
7
user9239110197101 :
Hichi kitendo Sio cha kufurahia jaman
naona comments nyingi mnafurahi, epukeni dhambi
2026-08-26 02:30:47
13
PAKA PAWA :
Hata nyani wamechoka na duni ya majini🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 22:41:29
22
📿♥(فيصل عبد) :
ACHENI KUKUFURU NDUGU ZANGU
2026-08-25 23:30:18
10
𝗚𝗜𝗩𝗘𝗡 :
waislam wotee tumsifu Yesu kristo, Asalam alykum
2026-08-25 22:45:04
14
Belson 90 :
hii dunia kuna sehemu imetoboka
2026-08-25 21:27:47
39
_abuu93_ :
Assalamualaikum bwana asifiwe 😳😳
2026-08-25 21:27:41
19
Jonsoni :
Tumsifu yesu kritu
2026-08-25 21:58:28
6
Issa Malongola :
tunaopenda kusoma comment za watu tujuane
2026-08-26 03:22:10
8
sharrifdollar$ :
Mwenye akili atajua kawaida misikiti yote huaga haina speaker 🔈 moja kwa hio moja ikingolewa si nyengine zaendelea kupaza sauti Kama kawa kwa hio ni AI🙏
2026-08-26 03:44:42
14
A STAR🌠SOUL OF LOVE Ň LIGHT :
Life is SPIRITUAL only the awakened can understand the significance n meaning of this action.
2026-08-25 22:40:27
18
To see more videos from user @legendatre, please go to the Tikwm
homepage.