@sammy_khan_2:

S_K 🇱🇾
S_K 🇱🇾
Open In TikTok:
Region: PK
Tuesday 25 August 2026 20:46:50 GMT
128
12
2
0

Music

Download

Comments

hashir.khan0011
Hashir Khan :
🥰🥰🥰
2026-08-25 20:56:18
0
hajibhaii8
Hadi Baba❤️ :
🥰🥰🥰
2026-08-26 10:56:52
1
To see more videos from user @sammy_khan_2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Moto Wateketeza Nyumba ya Vyumba 12, Familia Zalia Kuachwa Bila Makazi ARUMERU, ARUSHA: Familia kadhaa zimepoteza makazi na mali zao zote baada ya moto kuteketeza nyumba yenye takribani vyumba 12 katika Kitongoji cha Sokoni Barazani, Kijiji cha Naurei, Kata ya Kiutu, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Tukio hilo limetokea leo, Agosti 26, 2026, ambapo moto huo umeteketeza kila kitu kilichokuwa ndani ya nyumba hiyo, ikiwemo vitanda, magodoro, vifaa vya jikoni na mali nyingine za wakazi. Kwa mujibu wa maelezo ya mashuhuda, moto huo ulianza baada ya gesi kusambaa ndani ya chumba na baadaye kulipuka wakati kiberiti kilipowashwa. Moto ulisambaa kwa kasi na kushika vyumba vingine vya nyumba hiyo. Mmoja wa mashuhuda, Seselia Safari, amesema alikuwa akiendelea na shughuli za nyumbani wakati aliposikia harufu na kuona moshi ukitokea upande wa vyumba. Alipoona moto ukizidi, alimchukua mtoto wake na kukimbia nje kuomba msaada. Wananchi walijaribu kuuzima moto kwa kutumia maji, huku baadhi wakisaidiana kufikisha mabomba eneo la tukio, lakini juhudi hizo hazikufanikiwa kuudhibiti kutokana na moto kuwa mkubwa. Baadhi ya waathirika wamesema wamebaki bila kitu chochote na sasa wanahitaji msaada wa haraka kutoka kwa wananchi, wadau na watu wenye uwezo, hasa magodoro, vitanda, vifaa vya jikoni na mahitaji mengine muhimu. Mmoja wa waathirika amesema alipigiwa simu akiwa kazini na kupewa taarifa kuwa nyumba imeungua. Alipofika alikuta mali zake zote zimeteketea, hali iliyomlazimu kuanza maisha upya akiwa pamoja na mtoto wake. Waathirika wameomba msaada wa jamii ili waweze kupata mahitaji ya msingi na sehemu salama ya kuishi baada ya kupoteza makazi na mali zao zote katika janga hilo.

About