@gudboyzed1: MAOMBI NI SILAHA YA KUMSHINDA shetani NA PIA MAOMBI ni mawasiliano baina yako na MUNGU...MUNGU UNAONGEA NAYE KUPITIA MAOMBI NA KUSOMA NENO LAKE. Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii💪🏾❤️ Yakobo 5:16 #tanzaniantiktok🇹🇿 #onthisday #ugandatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #fyp