@bbcnewsswahili: Baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel John Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na Rais Samia suluhu Hassan kuridhia, maswali mengi yameibuka kutokana na sababu alizotaja na namna alivyojuzulu. Nchimbi alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma kupitia barua aliyoichapisha mitandaoni. Sasa maswali yameibka mengi na hapa @sammyawami anatuchambulia maswali makuwa matano Video: Bosha Nyanje #bbcswahili #foryou #fyp #emmanuelnchimbi #tanzania #siasa #CCM

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 01:45:00 GMT
113174
6497
143
196

Music

Download

Comments

kabisa2022
kabisa :
I stand with Nchimbi.😊
2026-08-26 03:43:21
45
luxee94
luxee :
for the sake of peace
2026-08-26 05:45:42
0
chescogeorge_11
Georgechesco_11 :
kaka Sami awami, your Great bro
2026-08-26 06:07:24
0
kipidu255
kipidu255 :
2026-08-26 04:52:35
16
fredrick.ndahani
fredrick Ndahani :
Injini ikiwa mbovu hata tungebadirisha vipuri vya gari pasipo kuitoa injini, safari yetu itakuwa ngumu. njia pekee ni kutupilia mbali hii injini gari itafika mbali.
2026-08-26 03:44:01
40
sule08512
sule :
Let him go..! They are all the same people 😳
2026-08-26 18:11:52
0
rashidanjigale
Irshaad :
nimepata demu bikra leo. nina furaha sana
2026-08-26 05:20:27
16
lyfe_of_mudo1221
12FEB🚷 :
Emma Kam Emma
2026-08-26 04:48:48
0
potomac.binary
Munjirù :
Where is Pole Pole?
2026-08-26 03:41:01
1
maulidimpili8
BOSI WA FAMILIA :
watu weng wanaamin katiba mpya ndio kupata unafuu wa maisha mbona kenya wana katiba mpya na bado wanaandamana kila cku waafrica tusifuate mkumbo wananch wanataka elimu bure afya bure na bidhaa kushuka bei katiba sio unafuu wa maisha
2026-08-26 05:07:23
7
zanzibar871
ZANZIBAR😎 :
I stand with samia📌🖐
2026-08-26 04:29:52
7
mjomba.wenu4
mjomba wenu :
kiongozi anatakiwa kuwa jasiri na mpambanaji wa kweli
2026-08-26 05:03:21
7
mullahjamal
CEO kimla building company :
mimi kwaupande wangu hatuna haja yakuendelea kujiuliza maswali yote haya mtafuteni Dkt Nchimbi mumuulize atuambie
2026-08-26 03:09:23
7
jescarkimath
Jessykah kimath❤️🔐 :
na mm najiuzulu kwanzia Leo mm cyo mtanzaniaa, NDANI ya cku 14 taften mtoto atakae simama badala yangu😂😂😂
2026-08-26 12:07:37
1
david.makolo5
Jobless Millionaire :
Ingekuwa vizuri zaidi km Samia nae ajiuzuru sababu kaapishwa kiharam watu walikufa oct29 wakaendelea kumuapisha huku tukiwa na msiba ilitakiwa uchaguzi urudiwe.
2026-08-26 06:44:56
0
user6802702818308
shacao :
Anajiuzuru kwenda wapi akae afanye kazi aliyoiomba
2026-08-26 05:00:27
3
mussa.yusuf66
Mussa Yusuf :
Tamaa zake zimponza
2026-08-26 09:12:45
1
user5921813061472
user5921813061472 :
BBC niwakuda sana nyinyi hamfai kabisa nilikua nawaamini sana miaka mingi nomegundua ni masinichi kabisa nyinyi ni double standard
2026-08-26 09:20:17
0
nassor_on
NASSOR_🧢 :
wew unauhakika gani kama hio ndo sababu ilompelekea kujiuzuru
2026-08-26 02:34:49
2
damwa3
Damwa :
Poor analysis 🥺
2026-08-26 03:12:38
0
mudymanyweletz
Mudy [email protected] :
Huyo sio mlafi wa madaraka yupo vzr sn
2026-08-26 03:38:31
1
nasram85
nasram :
hekaheka zimekuwa nyingi sana ipo seem watu wamekosea warudi juma wasawazishe amani itawale
2026-08-26 09:34:38
1
salmapanju1
panju :
SIJAPENDA. KUJIUZULU.
2026-08-26 02:43:44
2
yuu_wang
yuu :
anajiandaa kuwa rais 30 huyo hamna jipya
2026-08-26 11:36:19
0
salammindegeleu
RUFIJI+KIBITI +MAFIA :
nchimbi atakuwa ametengeneza heshima kubwa zaidi kama majaliwa atakuwa ni mtu mwenye kupendwa zaid Tanzania 🇹🇿
2026-08-26 07:26:29
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About