@mohamedhafidh_tz: Ukiwa nyumbani, simu, laptop, Smart TV na vifaa vingine vinaweza kutumia Internet kupitia Router moja. 🌐 Lakini… Router ni nini hasa? Je, Router ndiyo Wi-Fi? Je, Router ndiyo Internet? Na kwa nini ukizima Router, Internet ya nyumbani inakatika? 🤔 Kwenye video hii tunaelezea kwa lugha rahisi: 🔹 Router ni nini na inafanya kazi gani 🔹 Jinsi Router anavyoelekeza data 🔹 Routing Table ni nini 🔹 Tofauti kati ya Router, Wi-Fi na Internet 🔹 Router anavyounganisha vifaa vyako na ISP 🔹 Private IP Address na MAC Address zinavyohusiana na Router 🔹 Router inaweza kufanya kazi bila Internet? 🔹 LAN Ports na Ethernet Cable zinafanya kazi gani 🔹 Kwa nini Router ikizimwa connection ya Internet inakatika 🔹 Safari ya data kutoka kwenye simu yako hadi kwenye server Mwisho wa video utaweza kuelewa kwa urahisi kinachotokea nyuma ya pazia unapofungua YouTube, kutumia WhatsApp au kufanya chochote kinachohitaji Internet. 🚀 📌 Video inayofuata: Tutaangalia Wi-Fi ni nini, inafanyaje kazi, na kwa nini signal yake huwa dhaifu ukiwa mbali na Router. Kama video imekusaidia, Like 👍, Subscribe 🔔 na mshirikishe mtu mwingine anayechanganya Router, Wi-Fi na Internet.
Mohamed Hafidh
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 03:20:45 GMT
Music
Download
Comments
The Quadrant💥 :
router is the brain and wifi is the nerves or wireless or invisible cables
and note wifi can work even router has broken what you will is the data packet that the brain provides
2026-08-26 08:57:10
0
Satex :
Yes that it
2026-08-26 06:11:56
0
junior76_expert :
Internet: Mtandao mkubwa duniani unaounganisha vifaa vyote na kuhifadhi taarifa, tovuti, na huduma mbalimbali.
Router: Kifaa kinachopokea intaneti na kuelekeza data kwenda kwenye simu au kompyuta husika.
Wi-Fi: Teknolojia inayotumia mawimbi ya redio kuunganisha kifaa chako kwenye Router bila kutumia waya.
2026-08-26 05:42:43
1
🇧 🇮 🇳 _🇪 🇸 🇸 🇵 🇷 🇴 :
maswali nilo nikijiuliza kila sku leo yamepata majibu
2026-08-26 04:56:00
0
Bekaboy543 :
💯💯
2026-08-26 11:54:00
0
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm
homepage.