@siasatz: Swali la msingi hawa manguli wa habari za siasa wameshindwa kuuliza hatari hiyo inatokana na nini? Hawakupaswa kutuacha tunaelea hewani. Adui ni nani? na uadui unatokana na nini? Clouds leo wameamua kutufungulia dunia tusikie tunachotaka🚶. #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
wanajeshi mko wapi jaman ndo mme nunuliwa wote???????
2026-08-26 07:18:10
46
Khalo :
kkikwete na samia😳😳😳😳😳ipo siku hamtadumu milele😳😳😳
2026-08-26 08:03:05
13
Shamte :
kwa hiyo wapishi hawafi?
au wapishi wa viongozi hawafi?
2026-08-26 05:59:16
26
Alhaji :
Hiki kituo kina maisha mafupi sana
2026-08-26 06:13:29
88
Chikonji Lindi 99 :
watanzania kwa tulipofikia kwa sasa bila mungu hatutoboi
2026-08-26 07:44:33
12
almasramadhan919 :
kwani hawa viongozi wakishapata hivi vyeo hawaruhusiwi kupikiwa na wake zao
2026-08-26 05:58:19
18
New Empire :
kikwete must go
2026-08-26 07:18:08
0
nancyasia_moris :
Kikubwa kila nafsi itaonja mauti
2026-08-26 06:41:43
12
suzzy kimaro 💦💦 :
Hata yeye mwenyewe yupo hatarini kwasasa
2026-08-26 06:05:19
6
khamisabdalla15 :
atupishe hakuanza leo tokea enzi za makufuli alikuwa akiyafanya hayo
2026-08-26 05:45:01
10
user2157983439254 :
Kikwete ndo mzizi wa vifo wa viongozi wetu
2026-08-26 07:17:49
8
P sword :
Kama kunaukweli
2026-08-26 07:48:53
4
MR.X :
Kwann tusiamini Mwakilishi kutoka Zanzibar ndani ya Bunge Simai alikuwa ameleta ujumbe kuna Yuda na kwann hakuwahi kuulizwa ndani ya Bunge aseme Yuda ni nani?na chanzo cha taarifa kakipata wapi?
2026-08-26 05:37:51
10
Maryam Ahmed :
basi watanzania tumekwishaaa
2026-08-26 06:19:58
5
anty_minah :
jmn labda alikua na magonjwa yake binafs
2026-08-26 07:17:04
2
manvet :
Duh kumbe kuna za ndani hivyo😢😢
2026-08-26 06:14:00
11
beingfatma1 :
Wamegeukana walana wao kwa wao daah mamaee wallah
2026-08-26 06:17:20
8
Dogo Jah :
siasa mchezo mchafu hiii Ngoma bado iko 50 Kwa 50
2026-08-26 06:06:40
5
davsonydenis :
tanzania tanzania tunataka mabadiliko wasitulazimishe hii nchi sio familia
2026-08-26 06:38:31
6
Amri Juma :
hivi watanganyika nafikiria vizuri kweli mbona naonamengi namnajua mengi ila mnajizima data
2026-08-26 06:03:41
7
V.adam :
nadhan kwa habari ya mpishi sio muhimu sana maana hakuna ushahidi sana wa kwamba ameuwawa
2026-08-26 07:12:33
0
M🌸 :
kumbuka yule ni mtu w mungu kitu chochote kinacho pambana na mungu lazim kizurike
2026-08-26 06:45:35
3
Ms fey :
Uyu Dr ni kama kanisemea 😃
2026-08-26 07:36:50
3
Kassim Mwitu :
hongera nchimbi
2026-08-26 06:50:24
3
Antiques :
Wazo🤗Napendekeza kwamba 🤔Wapishi wa Viongozi Wema kama Hawa 🤔🤔Itabidi Awe Ndugu yake wa Damu 🤔🤔Hapo Viongozi wetu Vipenzi Watakuwa salama kabisa💯💯💯🦫 🦫 🦫
2026-08-26 07:08:21
2
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.