mungu awabariki wamiliki wa mabasi mnatusaidia sana💪💪💪
2026-08-26 13:01:22
2
Royal Priest :
Shuttle unamwandikia nani?
Umeandika kiswahili kote ila kwenye Safari ya kutoka Magufuli kuja ndani ya jiji na viunga vyake umeandika Shuttle! Kwani kutoka Magufuli kwenda mikoani sio Shuttle?
2026-08-26 16:21:31
1
getruda adolfu :
Kilimanjaro ndio wamekuwa na kiburi cha farao
2026-08-27 22:08:22
0
Jose :
meli
2026-08-27 20:31:00
0
#Rajabu :
natafuta kazi za udereva nipo darsalam
2026-08-27 07:05:22
0
Winifrida David :
asantey
2026-08-27 15:03:18
0
Leyla labani :
mungu awazidishie
2026-08-27 12:24:37
0
Jojo Khan :
tilisho tunasubiri na ww utupe taarifa
2026-08-26 17:46:33
0
BAMSADICK ALLY ZKN :
mitano tenaa wanangu sana
2026-08-27 18:44:48
0
lovemary fashion :
ABC tunawasubili na nyinyi
2026-08-27 11:57:42
0
Shaluu Ali :
hapo sawa kbsaaa ahsnte sana🥰
2026-08-26 20:03:17
0
Happy kisoma :
kazi nzuri
2026-08-26 18:38:36
0
RAMSONMOAAKIDS17 :
Hapa mtanipata sasa iyo issue inaanza lini nije naianze kuwachangia nifike Tanga kwanza nikasalimie
2026-08-27 05:24:55
0
Dancani Michael :
jambo jema Mungu awajalie natamani ata bus zote zingefanya ivi
2026-08-26 12:34:11
0
Jack's :
Mungu awabariki sana mmeweza kutjali abiria wenu
2026-08-26 13:11:49
0
bruno tz :
safi sanaaaa
2026-08-26 13:24:25
0
ELIA BUILDERS :
wanatulazimisha kupanda tren yao😁😂😂😂😂😂😂
2026-08-26 13:30:50
0
sadface :
dah
2026-08-26 15:54:30
0
eligi tarimo :
aibu wataona wao sasa
2026-08-26 15:52:45
0
ahmedmuumin21 :
Nijambo jema kuamua kuwasaidia Abilia wenu..kwani mnatupunguzia gharama za Usafiri.. Mwenyezi Mungu awazidishieni kwa wema wenu
2026-08-26 12:11:26
0
To see more videos from user @royal.liner.expre, please go to the Tikwm
homepage.