@maroon_tz: Watumie wakemia usiwe mjuaji🫵✊ #chunya#katoro#geita#saza#kahama

Maroon_Tz
Maroon_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 05:29:22 GMT
14817
1121
84
37

Music

Download

Comments

happiness.benjami0
Happiness Benjamin :
Kaka yaani huku Kuna mgodi umelipuka huku niliko jamani watu ni kuchimba tu madura Kama yote sasa na mimi nina duara zangu kama 3 hivi Ila hatujapima wanaochimba Wana Sema mwamba umepita hapo yaani hata sielewi mpaka sasa wanachimba tu nikiwauliza vipi Sampo.wanasema nyuga zipo kwa mbali sana
2026-08-26 16:01:59
5
allymaduhu5
shadrack from ntuzu :
kabsa kaka exprienc kubwa umr mdg
2026-08-26 19:05:48
3
baraka_madini
Baraka_madini💎💸 :
kwenye lab umenena
2026-08-27 03:15:52
2
joyce.susu1
Joyce Susu :
mteja wako anaamini mgaga wake
2026-08-26 13:26:50
2
danielmalenya828
DANNY MKEMIA 🫙🧪 :
Really kabsa boss💪
2026-08-26 18:17:56
2
user243461497175
king shibungi ancestors :
makini san kaka
2026-08-27 15:13:26
1
user5302229944880
Mr hussen :
uhakika mkuu
2026-08-26 20:31:09
2
ayoub.yusuph
Ayoub Yusuph :
kwenye kujua maabara nzuri au ufanisi tunatumia QAQC kwenye samples lazima uingize samples ambazo uta test ufanisi wa maabara na field kuna kutumia Blank samples and Standard samples nk
2026-08-27 04:08:41
4
fyiroko
king rwagasore👑 :
umesema kweri tunakutana nayo hayo mambo
2026-08-28 08:26:31
3
officalmstar
Official M Star ⭐ :
:Ukipata mkemia mzur hasau kupata hasar......!!!!!! - Before kuwek pessa kwenye madin au (Duara) jua kwanza PPM ya sehemu iyo ilikuepuk garama na hasar
2026-08-26 12:05:24
3
lshinedesilver
Lshine De Silver :
Facts ✨
2026-08-28 05:04:12
1
ben.alex319
Boyfriend 🇹🇿🇰🇪 :
kweli kaka watu wanajiamlia mambo
2026-08-26 12:38:07
1
dogo.stima
Dogo Stima :
kweli
2026-08-26 17:52:19
2
abdulymashiku
duly :
😅😅waganga ndio kila kitu wanangu asitupotoshe huyu
2026-08-29 18:40:39
0
humphreymenoxikyando
Brigadier :
fact.yaan maboss wa siku hiz wajuaji utadhan wao ndo wakemia.yaan changamoto.
2026-08-26 17:33:58
1
richard.mbabuka
Richard Mbabuka :
nipe maelekezo nampataje mkemia mzuri
2026-08-26 18:11:53
2
kulwa.girl4
Kulwa girl :
Naww Ee
2026-08-26 08:19:54
2
severineseverine27
@sevichz✍️ :
kabisa waambie
2026-08-28 14:32:22
0
msomiog867
Msomi Og :
au sio 😂😂😂
2026-08-29 22:30:18
1
inspector65tz
@Eng. MSL💸 :
kweli kaka
2026-08-27 19:43:03
1
usinchunguze
J.kaaya :
kwakweli
2026-08-31 18:14:54
0
omary.chemist
Omary chemist :
maabara gani bora saza
2026-09-03 12:03:19
0
best.mwalyego
Best Mwalyego :
makin san
2026-08-31 09:42:09
0
alidoo.khalid
alidoo khalid :
nakubali mzee
2026-08-27 20:44:51
1
labtec16
Mr Hamza :
Umeua 🔥 mzeee pitia bia creti uku
2026-08-27 14:34:14
1
To see more videos from user @maroon_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About