@samio_love: HAPA MOROGORO KUNA BALAA ZITO HAINA MTOTO WALA MKUBWA NI VIPAJI TU JANA TUMEPITA MITAA KADHAA YA HAPA MJINI NIKAKUTANA NA HUYU DOGO🫡 Hii ni vijana talent search iliyo andaliwa na @orvijana na @wizara_sanaatz na leo ndio final pale uwanja wa Jamuhuri kuanzia saa 10 jioni karibuni sana tuone talent za mkoa huu ulio barikiwa mambo mengi🔥🔥 Hakikisha ume subscribe YouTube channel ya @mio_online255 na @supa_kitaa ✅✅ Powered by @jizosound #baloziwagetto #wakienyeji✅
Apo kaka hiyo ndo moro Apo Bado ingia kilombero maeneo ya Mang'ula ukaone zaidi ya icho
2026-08-26 06:54:09
6
Chitoto belong Og🇿🇦🏃 :
kweli Moro ya vipaji
2026-08-26 16:00:17
4
Edward JR :
@Edward JR:@Edward JR:kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-26 19:26:48
0
Sulexh Wakuvimbaa :
weeeh😂😂
2026-08-26 07:13:44
0
wizz chiva masud jordan :
linajuwAaaaa
2026-09-01 07:41:33
0
katoto :
iyo ndo morogoro
2026-08-26 20:08:56
0
fey melody :
kaka zamu yangu xax
2026-08-31 19:51:44
0
chimamy salma :
🥰🥰
2026-08-29 14:31:27
0
Chado Star 77 :
nice
2026-08-27 10:34:16
0
Pendo james :
Hapa chamwino,kichangani, chura maji au vibandani???🤣🤣🤣🤣🙌🏻😳😳😳
2026-08-26 23:37:14
1
xemedo :
scombiso wa moro 🥺🥺🥺🥺
2026-08-27 07:34:29
0
KABURU_MAESTRO_WA_BRAZIL🍁🌟 :
mascombissooo
2026-08-31 14:35:09
0
@negodady 45 :
njooo chamwino
2026-08-30 05:37:24
0
Pro Duchu🎵🎵 :
haina kethiiiiii🤣🤣🤣🤣
2026-08-27 11:34:58
0
Crazy safaris :
sio poa wakali mtiti
2026-08-27 07:02:04
1
wizz chiva masud jordan :
bob kijino dogo mpelekee soda
2026-09-01 07:41:48
0
Gomez plan :
mpaka dogo 55
2026-08-26 20:40:33
0
Fathar G :
skombso😳
2026-08-26 18:40:34
0
beka45 :
kizazi Cha bibi
2026-08-26 18:22:14
0
toshaofficial :
nipe uyo dogo nimsimamie🥰🥰🔥🔥
2026-08-26 09:27:48
0
M@bululu 4🖐️ :
chaaangudoaaaaaaa!!!!!!😅😅
2026-08-26 06:17:05
0
piere chamanga :
👍👍👍👈👏🤣🤠😂
2026-08-26 06:12:20
0
irene adrian🍁🥰😀😀 :
@SCOMBISO47 TZ. 😂😂😂😂
2026-08-27 05:17:48
0
To see more videos from user @samio_love, please go to the Tikwm
homepage.