@islamic_rihla: Siku moja tutaondoka, lakini dunia itaendelea. Familia zetu zitaendelea kula, kulala na kuishi. Kinachobaki kwetu ni yale tuliyoyatanguliza mbele ya Allah. Usisubiri kesho kufanya mema. 🤍 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH SAAD AHMED 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US