@mwenye.nchi: Askari aliyevaa mask amecheka😂

MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: ZA
Wednesday 26 August 2026 06:53:43 GMT
55662
2369
54
43

Music

Download

Comments

user6176046039977
mariamarco :
jmn askari wetu wataenda kuchekea nyumban😂😂😂
2026-08-26 09:15:40
9
user31103481399984
sabra :
hata hao maaskar wanataman san kucheka semaa basi tu...anyway nashukuru nimehama Tanzania sasa nipo Tarime.
2026-08-26 08:16:44
17
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
safi sanaaaa LISSU
2026-08-26 07:32:28
30
mfuruweldingcompany1
Mfuru welding company :
wako wanao enda kuchekea Nyumbani
2026-08-26 07:49:35
19
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-26 09:27:50
4
hadson.fanuel
Hadson Fanuel :
Naamini,, MAMA ana kila kitu lakini hana Aman kabisa wala Raha hata kidogo
2026-08-26 08:02:21
6
maryamjuma764
Mamu shabani :
cjawahi kuona binadamu anajiamini kama Lissu aisee huyu baba ni kiboko Mungu azidi kutia nguvu na subra one day atatoka
2026-08-26 08:54:32
3
andrewmwandu
Mwandu endruw :
tupo wengi 😂😂😂😂😂
2026-08-26 09:07:05
2
superfollowerwordwide
super follower :
nani mwingine anataka kucheka😂
2026-08-26 09:00:33
3
dr_herry
DR HERRY NA UZAZ|+255742449224 :
askari si mcheke tu😂😂
2026-08-26 08:46:00
3
valencia23251
Valencia :
muambie mwenyekit mkusanye pesa za chama vyema ✌️
2026-08-26 07:00:48
8
braytonnorobeth1
braytonnorobeth1 :
Hata mama m ndo afande razima ningejikuta nacheeka tu sa cjui ningefukuzwa KAZI!!!!
2026-08-26 07:44:46
7
wizzyeddy1
Wizzy Eddy :
watayoana moyo
2026-08-26 07:07:39
5
user8528548166621
user8528548166621 :
hao maaskari wanachekea moyoni dadeq
2026-08-26 09:14:26
1
aishahabs01
Aisha Habs :
nkwel😅😅😅
2026-08-26 09:09:17
1
bongemixmwanza1
user4600450153901 :
ongeza motooo
2026-08-26 08:53:02
1
phillywizzy.willi
Phillywizzy Williams :
😂😂😂 mpaka uwe raisi tupo na wewe
2026-08-26 09:39:30
1
user9637076213403
Sarah yohana mnyampanda . com :
kweli moto umewakaaaaaaa
2026-08-26 09:39:08
1
frohpaul
Ommy Ray Gun :
Mungu mlinde lissu
2026-08-26 08:07:04
5
hendricksamson0
Hendrick Lyomoka :
Tunakukubaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-08-26 08:51:55
1
merry.riziki
Merry Riziki :
ongeza🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-26 06:56:20
4
milialaandare51
milia laandare :
peleka @❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
2026-08-26 07:02:30
4
abiudikikoti
abiudi kikoti :
mungu mlinde lisu
2026-08-26 08:40:55
1
mwanaisha.ally01
aisha :
hahah ila jaman ndomana wakiwaza kumtoa wanashindwa🤣
2026-08-26 09:57:22
0
askofumwampeta255
askofumwampeta255 :
Ina maanisha kuna watu wanatolewa maini? 😂😂😂
2026-08-26 09:49:57
0
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About