psychologically it has to be so...inabidi urudi tena na tena na tena kwa yule anaekuumiza mpk utakapoona haiumi tena ndo uachane nae ...tena unawezaachana nae silently
2026-08-26 07:50:37
98
Dreams_girl👩💻 :
dad na mm nina story yang wacha niitoe ex wang aione huenda tutarudiana
2026-08-26 08:04:05
9
SHIPAPY TRENDS🛍️ :
Nitafanya Ujinga wotee katika hii Dunia ila Ninaomba Mungu anipe Hekima ya kutomtafuta mwanamke mwenzangu na Kusema achana na Mwanaume wangu ety unajua tumetoka wapii sijui nn hapana😂💔
2026-08-26 07:28:39
298
Shine 340💕 :
your are unique six fingers☺️
2026-08-26 09:46:10
3
keen :
six fingers 🥰
2026-08-26 17:36:47
0
frankkessy23 :
The law of detachment
2026-08-26 19:26:22
0
No body ❤️ :
Kama mtu akikwambia anamtoto na baby mama achana nae tuu
2026-08-26 15:46:14
6
Rachel :
asaste sana
2026-08-26 21:24:23
0
Leticia :
Heal at the crime scene ndo mbinu yangu pendwa
2026-08-26 12:19:22
5
Hoti Official 😺 :
njia rahis kutafuta mpenzi mpya ukiwa ndani ya penz la zaman 😂😂 effort unahamishia upande wa pili kwishaaaa😂😂😂
2026-08-26 09:44:45
7
Norinah_queen💜 :
Mbona ni story kama yangu jamnii😂😂
2026-08-26 08:39:07
10
daisy🌼 maggie :
nataman kuleta story yangu sjui itachukua sku ngap
2026-08-26 07:41:22
8
annieignas1 :
leo nimewah😂😂😂
2026-08-26 07:11:38
13
Rehema Tz :
iyo inafanya kaz natoa ushuhuda iyo situation imewahi nitokea lkn mimi haukua ana bebe mama lkn alikua anichukulia poa sana nikabaki nae hadi nilipo weza ku move on ndio nikaondoka now nimepata mtu anaene niheshimu kunipenda na kuniskiliza🥰
2026-08-26 07:34:35
21
novix🦋 :
Kwan inakuaje mnapenda namna hii🫴😅😅😅
2026-08-26 07:35:06
7
Goodluck🇹🇿🇹🇿❤️❤️ :
kweli hii itanisaidia 👍ngoja nifanye hivyo
2026-08-26 07:28:36
9
Wonders❤️🦋 :
Me nimwendo wa bandika bandua aloo ukiniacha leo naangalia msururu wang nampa mmoja nafasi sirudi nyuma hiyo 😂😂😂
2026-08-26 22:14:33
1
Quad E_08 :
ila mi mwanaume akiniambia kuna mtu ananipenda yan huyo mwanaume kuniona tena labda kwenye gazet
2026-08-26 17:33:13
1
Jessica :
Njia rahisi ya ku move on ni kukaa kumuweka karibu na wew ukisema utumie nguvu utalia vibaya mno 😂😂😂
2026-08-26 21:53:27
3
👑Zahra Zahra💞🌹 :
ila wanaume wanajua kutuchakaz🤣
2026-08-26 19:31:59
0
Loyda Chales :
Ata mimi oyo ilisaidia sana
2026-08-26 09:10:58
3
Mrs peter :
mimi katika hii dunia siwezi penda mwanaume mwenye hawezi nihudumia kamwe staki ujinga kabsa
2026-08-26 19:16:27
1
To see more videos from user @prisca_nnko, please go to the Tikwm
homepage.