i wanna go na i want to go what is the difference?
2026-08-26 08:32:27
0
Rukia Ulumu :
mashaallah allaah Akuhifadhi🥰🥰🥰
2026-08-26 08:14:39
2
Imagination11 :
Allah akupe manufaa ya duniani na akhera kwa mafunzo yako.
2026-08-26 07:51:32
2
bossdullah :
Allah azid kukuhifadh mwalimu wetu.
Allah akuzidishie elimu na Afya njema
2026-08-26 10:05:14
0
aziz 0mar :
alahu barik
2026-08-26 09:27:49
0
Ally :
mwalim asant sana naomba kuweza mtafutie audio za wasomaj kutoka kweny kila nchi zeny usomaj tofauti alafu. umuonyeshe labda kweny macho haelew basi hata Kwa kusikia
2026-08-26 07:59:58
2
Said Nassoro :
Allah akupe umri mrefu wenye manufaa
2026-08-26 09:30:16
0
shabani :
Mashaallah endelea kutuelimisha
2026-08-26 09:35:28
0
user506999433614 :
shukran shekh www.
2026-08-26 08:45:46
0
Osman 1998 :
nakuelewa sana mwalimu wetu Allah akupe afya njema
2026-08-26 08:19:54
0
Kafiri :
MaashaAllah hii ni Azina ya Africa
2026-08-26 07:58:14
0
Mau Fundi :
Asante sana mwalimu wetu wa kiislam
2026-08-26 09:09:48
0
Hamad Saidi Hamadi :
Thanks Mwalimu Shabani kwa kazi nzuri
2026-08-26 08:11:26
0
jojo :
mwalimu shaban wewe uko vizur ni kweli wewe mwalim
2026-08-26 08:25:43
0
Uduge :
Maa shaa Allah ahsante nana kwa maelezo ya mtindo wa kisasa
2026-08-26 09:21:42
0
nicutazubery838 :
Baba Helena Masha Allah nakukubali sana Mungu azidi kkuzidishia kheri. from
2026-08-26 07:54:17
0
Busra Said :
Inshaallah kwahilo bila shaka hatorudi tena ila kwajengine... walaykum salam warahamat allah wabarakatuh
2026-08-26 08:09:51
0
T.S.MAPUYANGA003 :
AI HAIAMINIKI KIUTALAMU
2026-08-26 08:25:33
0
Amigo :
Hapo umemmaliza, kama hayaelewa basi tena
2026-08-26 08:26:02
0
mkamandume1 :
Baba Haleema umepiga kichwani mtu aliekua ameshajifia. 😅😅😅
2026-08-26 09:22:53
0
user5251869886405 :
😁😁😁😁 ALLAH akbar waislam Mungu amewapa akili nyingi
2026-08-26 08:51:23
0
صالح :
@Baba Haleema
Assalam aleykum mwalim
mie na ombi kwako 🙏
Naomba Uanzishe Darsa la Kulipia japo kiasi ili upate Huko pesa ya sie kuku weka mezani zaid. kwasababu sie wengine tuna jifunza kupitia wakristo kuleta hoja sasa kwa hoja kama za jamaa wa chaka ambae Ana copy kwa kuskiliza pahala then Ana present sie wengine kwetu ni maswali magumu hivyo tuna hitaji Darsa la kutu andaa vijana ili tukusaidie kujibu na kuto onkana hatuna elimu 😅..
wahadha ssalamu a'lkum warahma tullah🙏
2026-08-26 08:12:54
0
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm
homepage.