ukiisikia hiyo sauti ujue ni jumatatu kasoro hahaha kesho shule
2026-08-26 08:50:41
481
naahstore&hennaartst :
mmetisha ๐
2026-08-28 10:41:23
0
๐๐จ๐ฆ๐.๐๐ณ๐ฅ๐ค :
SISI NDIO KASH KASH KASH ๐คฃ๐คฃ๐
2026-08-26 08:37:50
160
ZONGE ALUMINIUM Rabii :
hii haina comeback
2026-08-28 12:18:28
0
I'm side :
hii ndo comedy ndani ya comedy
2026-08-29 04:09:33
0
mama zaidani :
onyango yup wp
2026-08-27 08:22:37
1
Virtuous girl๐ธ๐ด :
ITV is typing.........
2026-08-28 16:59:55
0
it's รmmarleyMsรธmali_77๐ธ๐ดโ โ :
si Ndo uyu Mmojawapo๐
2026-08-26 16:44:27
52
khadija :
yuko single๐๐คฃ
2026-08-26 17:43:00
8
precious :
star tv
2026-08-28 20:34:46
0
๐ฃ๐ฃkibaxho_garbarinho๐ฆ๐ :
mizengwe hiyo itv jumapili kama unakubali tia like ๐๐๐
2026-08-26 08:07:30
169
mama nah :
ila usipolipa kifurushi unapitia mengi๐๐
2026-08-26 09:25:48
51
shebby ghaid45 :
Mwenye T-shirt ya NMB au CRDB aniazime jmn kesho natambulishwa ukweni๐๐ค
2026-08-27 08:43:13
18
danieltumain1 :
yaani hapo unawaza. ujafanya home work ya hesabu maswali 50. ya maarifa ya jamii maswali 100 na bado ujafua nguo za shule๐๐๐
2026-08-26 15:15:02
27
โก๐ป๐๐๐ฅ๐ฅ๐ฆ๐โก๐ป๐๐ :
๐yan ukiwa tanzania alfu ukajakufa kwamawazo jua umejitakia๐๐๐๐๐ฅฐ
2026-08-26 15:31:46
15
blessed Stevenโ๏ธ :
zaman hata usikie kingโmazi kinaisha huwaz maana kuna mizengwe itv futuhi startiv na zile movie za eatv ila sio sahv utaangalia safari had uanze kuongea kama wale watangazaji๐
2026-08-27 14:07:03
12
JAYkimใ๏ธ :
nakumbuka kuna mzee mmoja huwa anabebwa apo kwenye picha ya wote๐๐
2026-08-26 19:46:27
13
laulian 45 :
nashindwa kuwaelewa
2026-08-26 14:10:53
5
oliva godwin :
nilikuwa sipendii hii muv maana najuaa kesho shuleee ๐๐๐๐
2026-08-26 20:03:58
8
๐นmary :
Rest in peace Mzee matata
2026-08-26 16:39:30
5
roy_roken :
Kwani wamebadilika hivi ๐
2026-08-26 15:58:46
10
fahad Abdul :
Ngoja nitoke๐
2026-08-26 09:36:33
12
scofit :
daah nilikuwa nkickia iyo nawaza nipge pasi nguo za shule au nijifany naumwa,,,maan huo mlio ni jpili na j3 shule๐๐๐
2026-08-26 11:09:33
11
Mahanyu decor :
tuliokua hatupend shule gonga like๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-08-26 20:13:09
6
To see more videos from user @nocha.the.great, please go to the Tikwm
homepage.