@ktnnewske: Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja asema Rais William Ruto atarajiwa kuzindua sare mpya za polisi Ijumaa wakati wa hafla ya kuwaapisha na kuwaaga rasmi maafisa wapya wa polisi katika kituo cha polisi cha Kiganjo, kwenye kaunti ya Nyeri. #Yanayojiri

Ktn News ke
Ktn News ke
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 26 August 2026 08:07:46 GMT
573
50
1
0

Music

Download

Comments

beckymmake
beckymmake :
Someone ajitolee anisave na mayai tray Moja ni 380sh nianze hustle ya kuzungusha boiled eggs, kibanda yangu ilikuwa demolished na kanjo, ninarequest, msinijudge🙏🙏🙏 na niko na special kid..
2026-08-26 15:23:54
0
To see more videos from user @ktnnewske, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About