@jifunzetv1: Picha inayozungumza ilipigwa Jioni ya Juzi pale Terminal 1 kwa Mwalimu Nyerere Airport wakati Balozi Dr Emmanuel John Nchimbi anashuka kwenye Ndege ya Folker 50 akitokea kwenye shughuli ya Ufunguzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kumbukumbu za Golden Arrival zilinaswa kwenye lens za Camera ya Nikon Z9. Mtoto kutoka Kusini mwa Tanzania 🇹🇿 ardhi ya Wangoni, Mseminari na Mkatoliki wa kulevya alikuwa anashuka wakati Vicheche kutoka Idara ya Usalama wanamtazama timamu kwa majukumu ya kumlinda E2 Jioni ile, haikuwa tu kushuka ndege bali kupisha wengine wapande na Tanzania iendelee na safari. Rais ameridhia Balozi kujiuzulu lakini ardhi ya Ruvuma sasa itampokea Mtoto wao waliyemtoa kwa ajili ya Tanzania aliyeondoka Nyumbani kwenye umri mdogo, wampokee Mtoto wao na pengine ni moja kati ya Mtoto bora moja wapo kuwahi kuwapa Taifa hili leo amestaafu rasmi siasa na Utumishi wa Umma. Asante Mngoni, Asante Balozi, Asante Daktari ukawe na wakati mwema wa Ustaafu baada ya kulitumikia vyema Taifa lako. Usengwile Kaka Ima 👏 Thank you Son of the Republic.
Katoliki inalea na zaidi ya yote inafundisha kusimamia kweli na misimamo pia...Angalia akina Simbachawene..Mizengo..Philip Mpango..n.k
2026-08-27 07:11:28
6
Chudaaah🦩❤️ :
Sijui kwann rohoo inaniuma juu ya uyu baba
2026-08-27 08:00:33
2
ommy_ set :
heshima yako umeilinda baba
2026-08-26 16:21:54
6
scolammary :
nimejikuta nampenda sana huyu baba ana misimamo pia anaona mbaili
2026-08-27 05:24:10
3
SENDO KWA BEI POA 🫰🩴👑 :
kira kitu kizuri kufanikiwa kwake kunakuwa naugumu sana sijui kwanini 🥺😭😭 ila 🫡 shukulani sana mana mdomowako uliutumia kwahaki 🙌🙏🫡
2026-08-27 07:02:41
3
MWAMBA VICENT 🇹🇿 :
MUNGU
2026-08-26 16:14:53
3
Nasra|ناَصْاَء🩷🧸✨ :
Kwakweli usengwile😊🙏
2026-08-27 06:20:43
1
John Mushi :
Yohana 1:47 inasema: "Basi Yesu akamwona Nathanaeli anakuja kwake, akanena habari zake, Tazama, Mwisraeli kweli kweli, hamna hila ndani yake."
2026-08-26 16:41:54
17
Ngosha Family💪 :
mfano hai huyu mwamba🙏🙏
2026-08-26 16:24:30
5
makishu dabali :
wapi umemsikia balozi kasema amejuuzuru
2026-08-26 20:17:55
2
Linda love❤️ :
Mtu mwema
2026-08-27 04:54:14
1
ethan :
kaniuma san
2026-08-26 15:50:38
1
Rama Kazili :
mmm
2026-08-26 09:58:16
1
samwel julius :
mungu akubarik mzee wetu waachie nchi yao wafanye wanavojua kikubwa uzima
2026-08-26 22:56:03
0
Jacob Ezekiel692 :
MWAMBA UYU AMETHUBUTU ILA IPO SIKU INCHI HII ITAINGIA KWENYE SHIDA NA IYO YOTE NI KWASBABAU YA UBINAFSI WA VIONGOZI KWENYE INCHI YAO WENYEWE WANAONA KULA PESA ZA KODI NI VYEMA KULIKO MAENDELEO
2026-08-27 07:32:58
0
ameena :
hata sasa hv mungu ni mwema ukawa mapumziko mema ya utumishi umelitumikia taifi kwa kiwango ambacho mungu amekujalia
2026-08-27 10:36:13
0
Tsanga mbetswa :
kusimama kwenye kweri ndicho umenifunza japo dunia aipendi ukwer
2026-08-27 11:16:14
0
Ottogabriel283 :
Mtu mwenye Hofu ya Mungu Hakika
2026-08-27 09:33:43
1
Frank_Kandaga :
ufunuo 2:10 kuwa mwaminifu hata kufa bwana wa mbingu nayo nchi Tanzania 🇹🇿 akuifadhi salama m/doctor nchimbi
2026-08-27 09:03:57
0
John Komba :
umetuheshimisha ruvuma♥️♥️♥️♥️wew ni shujaa daima
2026-08-27 02:13:38
0
Doc :
Kwa kifupi, mwandishi hajakosea kuwa anatokea Mkoa wa Ruvuma. Kwamba ni Mngoni wa Songea, Mmatengo wa Mbinga, Mwera wa Mbamba-bay, Mnyasa au Mpoto wa Liuli au Njambe au Mango au Lundu, ama Mmanda wa Mbaha au wa Lituhi, au Mpangwa wa Songea, au Mbena wa Madaba, au Mkinga wa Songea mjini, au Myao wa Tunduru, au Mdendeule wa Namabengo au Namtumbo yeye ni wa RUVUMA. Ruvuma yote inajivunia huyo bila kujali ni CCM ama CHADEMA.
2026-08-26 15:38:39
4
user14268378053 :
Huyu sio Mnyasa
2026-08-26 11:53:08
2
Selemani Moshi Mkongo :
mungu anamtumia yeye kuwafunfishe wengne kua madalaka siyo kitu kama unahitaji kua na mwisho mwema🥺🥺🥺🥺
2026-08-26 17:41:10
4
To see more videos from user @jifunzetv1, please go to the Tikwm
homepage.