@emma.knowsmore: Waswahili Wanasema Miluzi Mingi Inampoteza Mbwa Sio😀 Kelele Nyingi Kichwani Kwako Zitakufanya Ushindwe Kufanya Mambo Kwa Usahihi.. Anza Leo Kufanya Meditation Then Utaniambia Mabadiliko Ambayo Utayapata😊 Nina Free WhatsApp Channel Kwenye Profile (Bio) Gusa Itakuleta Moja Kwa Moja Tujifunze Mambo Mengi Kila Siku Bila Gharama. Lakini Pia, Napokea Consultation Kwa Watu Wanaotaka Kubadilisha Tabia, Kukuza Biashara, Kujifunza Mambo Mbalimbali Na Mengine Mengi (Sio Free Ni Gharama😊) Je Hii Itakuwa Imekusaidia.?😎

EMMA KNOWS MORE😎
EMMA KNOWS MORE😎
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 09:14:51 GMT
6753
690
66
24

Music

Download

Comments

nicahnic5
ηι¢мσηι¢ :
yoooh in love with your teachings
2026-08-26 14:28:16
1
fantaphilip
fantaphilip :
hiii ni golden mind aloooo 🫰🏽🫰🏽🫰🏽🫰🏽
2026-08-26 12:25:11
1
officialunknown361
🤎 :
meditation helps alot guys, sana can’t even explain
2026-08-26 14:45:02
1
sophypie8
✨soso🤍🧿✨ :
Mbona nashindwa ku join in chanel jmn🥲
2026-08-26 13:05:36
1
lailatmussa31gmail.com
Lailat :
Thanks 🥰
2026-08-26 14:59:10
1
willeculture
Wilson Mhoro :
more fire
2026-08-26 13:32:30
1
mvungi99
Mvung :
be blessed bro🙏🙏
2026-08-26 14:35:12
1
tinasha90
Tc_tayna🦋🫦 :
this is masterpiece📌
2026-08-26 09:58:02
1
sniperboe47
sniperboe47 :
God bless youu brother
2026-08-26 18:23:59
1
trevormom8
trevormom8 :
Najifunza 🙏
2026-08-26 14:14:25
2
dr_nyaki
MEN'S HEALTH CLINIC :
Nimekusoma mkuu🙏
2026-08-26 10:08:33
1
kia62491
josh🧠🎶 :
Nakbl Mkali 🔥
2026-08-26 09:41:59
1
esther.williams522
Esther Williams :
asante mwalimuuu❣️❣️❣️
2026-08-26 13:40:08
1
rosy06334
rosy :
Hata kabla sijaanza kukusikiliz nimeshalike🥰
2026-08-26 13:48:17
2
the_purepurple_heart
The Pure Purple Heart 💜 :
Deep 🔥📌
2026-08-26 11:27:26
1
user1322758765739
Producer pateri :
Umetisha sana
2026-08-26 11:39:30
1
eunicechari
miss chari 💞💞🌷 :
nakuelewa 💯
2026-08-26 13:30:29
1
byser055
byser055 :
Nimejifunza kutuliza akili yangu 💯
2026-08-26 11:12:02
2
nyala_diaries
NYALA :
utufundishe namna ya kufanya meditation mwalimuu
2026-08-26 10:15:49
3
hlmwasalumu
Mimah wa sally :
Me nataka unifunze meditation private?
2026-08-26 10:37:48
1
hamsin848
hamsin_♌️ :
video nyingine itabidi utufundishe kufanya meditation
2026-08-26 09:29:56
1
yuliahussein4
yuliahussein4 :
kumbe wewe ni noma hivi ! nilikuona mdogo ujue eeeeh kumbe mkubwa kiakili balaaaa
2026-08-26 13:41:24
1
majitaka939
alvin deus :
huwa narudia kusikiliza zaidi ya mara kumi 🤣🤣🤣
2026-08-26 11:47:40
1
To see more videos from user @emma.knowsmore, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About