mi na quit tuu, yani nimeingia kucheza game niondoe stress afu we unakuja kuniongezea stress 😂😂😂😂
2026-08-26 11:51:18
19
Adrenaline :
Hao ndio nawapenda
2026-08-27 16:17:14
2
Basil Seif Goal Gete :
Atakuua huyu🤣🤣🤣🤣
2026-08-26 19:43:23
1
East_African_Sailor :
KIPINDI Cha kwanza simaliz namuachIA GIZAA
2026-08-26 11:54:58
3
im not tiktoker :
mcgeady shot cancel
2026-08-26 21:49:49
1
Warren Buschmann :
Kama PS ni yangu nazima naibeba naenda nayo kwangu ni nunue na mni tese 😂
2026-08-27 17:18:44
1
Nelson phone point :
miki nilikutanaga na jamaa wa hivyo . alooh sikutaka mambo mengi mimi nikamwambia bro cheza na compyuta
2026-08-26 18:26:59
2
Ice drizzle :
Naomba unifundishe hiyo Chenga
2026-08-27 18:08:07
0
DNDkartel :
game gan ilo
2026-08-27 12:22:33
0
teev@23 :
anatumia trickster skillers na anatumia skill ile ile moja tu hapo
2026-08-27 14:26:11
1
__𝚊𝚖_______ :
Daah😁😁
2026-08-26 15:55:16
1
Wîžžý Hãñš💥💦 :
Nina mwanangu ukicheza nae ikipga skills nyingi anakasirika alfu ndio mwenye PS sas😂😂😂
2026-08-27 07:08:43
0
nikk :
wajinga wanachezea kwenye tv wanaunganisha na pad sis tunahangaika na cm 😂
2026-08-26 17:24:44
1
꧁༒Ismaily༒꧂ :
icho kimstari unaekaje
2026-08-26 14:50:11
0
TheNightWalker😎 :
huyu unafika miguun tu wala hawawez cheza maana ndo mchezo anaotegemea na pia huyu hawez tumia timu ambayo ina watu hawajui skills niambie n wa wap huyu mnikanidhi mm
2026-08-26 17:06:55
2
godbless mtesha :
Apo kazime switch ukutani tu
2026-08-26 18:46:51
0
E22 :
hyu mm mapaka mechi iishe nakua nabaki na wachezaj wawil tu.wote red