@shamirik: 😂 #cheka #viral #trending #kenya

Shamirik enterprises
Shamirik enterprises
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 10:04:06 GMT
33608
1408
99
242

Music

Download

Comments

mikekijogoo
. :
ukivuka 30 unaweza maliza siku 7 kuangalia single movie na usiimalize
2026-08-26 15:43:30
65
attu_vogue
attu_vogue :
Simu napokea loudspeaker😂🙌
2026-08-26 13:38:30
33
bk16204
Bk16 :
siwezi kuangalia mechi ya mpira nikamaliza dakika 90 zote. kumbe shida ni umri
2026-08-26 16:10:44
14
chazy292
CHAZY-outfit. :
sasa mbn mm niko na 24 ila ni zaidi ya hivi
2026-08-26 16:44:45
5
sammeriq2
𝓢 𝓐 𝓜 𝓔 𝓔 𝓡 🍏 :
hyo avatar the last air-bender nimeanza angalia since mwezi wa 5 sijamaliza😂😂😂😂
2026-08-28 13:28:17
1
dottosmartstore
dottosmartstore :
😂 🤣ndo unitangaze
2026-08-27 07:39:18
1
fadhilimwakaje
Fadhili Mwakaje :
Umenikimbusha hadi kula, embu ngoja kwanza nikale
2026-09-25 12:15:17
0
gladie_george
gladie🥰 :
Mim ata sjanusa iyo 30 niko hivo hivo🤣😂😂😂🤣😂🙌🏽
2026-08-27 08:01:03
1
ashrafdadi281
SHIRABOY :
ukishafikisha umri huo majukumu yanakuwa mengi na muda wa kulala unakuwa ni mchache sana
2026-08-28 09:12:15
1
mwesigwarutabingw
Mwesy :
acha kabisa yan😂😂
2026-09-21 12:34:03
0
chande00001
Chande :
mnatuonea jaman😂😂
2026-08-31 15:25:17
0
johnkidumba920
johnkidumba920 :
Unalala saa 7 unaamka saa 12 hasubuhi kwanini usilale
2026-09-19 22:14:52
0
frankwagontz
Frank-WAGON :
SIO wote 🤣🤣🤣
2026-08-30 16:13:03
0
mar_thiez
Marie :
🤣🤣🤣Hapo kwenye kupunguza sauti ya tv ni mm kbs nikiwa nyumbani jpili jimepumzika alafu watt wako sebleni wanaangalia tv huwa sitaki kelele kbs niwaze mambo yangu🤣🤣🤣
2026-08-27 13:37:37
1
japs4545
Japs :
Sahivi sisikii vzr, sioni vzr, nasinzia Kila sehemu, movie moja naiangalia mwezi mzima, nasahau Kama Niko kwenye mahusiano mpaka nitakapopigiwa cm ndio nakumbuka, yaani shida tupu
2026-08-29 20:23:22
0
kelvini.kimario1
Kelvini Kimario :
Sasa mbona hata 30 Sina na nishafika au Kuna seemu nawai 🤣🤣
2026-08-26 13:23:30
6
dicksoni.dicksoni7
Dicksoni Dicksoni :
kweli bro humo humo
2026-08-26 15:48:19
0
attu_vogue
attu_vogue :
Mimi huyu😂 🙌
2026-08-26 13:38:05
2
jay_senior255
𝑺𝑬𝑵𝑰𝑶𝑹 𝑱𝑶𝑬 :
Hii sio Meme
2026-08-27 17:39:30
0
priscystore02
its.priscy :
jaman hadi kwenye kula unasinzia😂😂😂
2026-08-27 17:04:24
0
junegyal3
junegyal :
hii ni badiii😂😂😂
2026-08-28 16:10:42
0
mteezyyy1
Mteeezyy :
ni mwendo wa kuzima tu
2026-10-04 15:03:39
0
nitocreative
Nito Creative :
Nani amekuruhusu kuigiza maisha yangu? 😂😂
2026-08-28 12:44:10
0
slyvanny5
slyvanny :
😂😂😂mamaee
2026-08-26 13:43:55
1
electrical.light.decor
fedo :
huyu mm kabisa
2026-08-26 16:15:40
0
To see more videos from user @shamirik, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About