@jvckieseven: kila mtu alitafuta namna ya kuingia mjini kiutofauti ili kuliteka soko la music bongo. ndipo alipoibuka huyu mwamba hapa wakuitwa ABEL MOTIKA (MR EBBO) na style yake ya kimaasai na alifanikiwa. huyu jamaa alikua producer wa muziki ambaye kwa asilimia 80 ya kazi zake alitengeneza mwenyewe kwenye studio yake ya motika rekodi mkoani Tanga japo nyimbo zake za awali alirekodi kwenye kikontena cha Master Jay (MJ records) mwishoni mwa mwaka 1999 kuingia 2000, na huyu jamaa ndiye msanii mwenye albam nyingi zaidi wakichuana na sugu. Bad news ni kwamba 2011 industry ya bongoflava ilipata pigo la kuondokewa na huyu mkali ambaye mpaka sasa pengo lake halijazibika kwa style ya muziki wake. R I P MR EBBO 😭😭

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 10:31:22 GMT
28512
1291
82
78

Music

Download

Comments

abdunurusimkwasa
Abdunuru Simkwasa :
Rest in peace The Late Mr Ebo
2026-08-30 18:24:06
2
joash.mwamburi
joash mwamburi :
love it continue resting inpeace brother we miss you in this field of music
2026-08-30 19:08:25
1
msafiri.deus2
De :
Rest In Peace MR EBB0🙏
2026-08-30 10:38:28
0
charh_lee
Charh_Lee :
May he keep on resting in peace
2026-08-30 15:08:34
1
trustnoone5_
Trust no one :
So no one is talking about the beat and mastering 😳🔥
2026-08-30 21:02:33
0
khaledmhina
khaledmhina :
watt w 2000 kipind hiki unga kilo 200 mchele super 600
2026-08-30 17:00:15
6
che.mropee
che mropee :
R.i.p mr ebbo 2011 nilikuwa darasa la saba
2026-08-30 16:57:49
7
davidlihoha
David :
watu wa millennium mnatukumbusha mbali😅
2026-08-30 18:51:39
2
allybahebe
Ally Bahebe :
aise big track leta mengine Kam yapo kama hayo
2026-08-30 15:16:44
2
zai.love.999
Zai love 999 :
X wangu popote ulipo nimekumis sana😂
2026-08-30 09:26:37
3
lyoyoz
Alex Mwalyoyo :
Mwamba sana. RIP Mr. Ebbo
2026-08-30 16:17:16
1
barakalema
Baraka Lema :
kipindi hiko fanta ya chupa ya glass mills 350 ni tsh200 (ilipanda kutoka 150)
2026-08-30 18:26:35
2
user3408862876180
shaffy :
bado tunamkumbuka Emanueli mudiga maarufu kama Mr ebo alikua mwamba xana
2026-08-30 11:10:21
1
ndonyo5
ndonyo :
Daah alikuwaga noma huyu R. I. P mr yebo
2026-08-30 09:44:18
1
davidthomas19321
David Thomas19321 :
RIp
2026-08-30 12:50:22
0
masudinangololo
[email protected] :
kitambo sana r.i.p Mr ebo
2026-08-30 17:47:27
1
msafiri.deus2
De :
ABEL MESHACK MOTIKA "MR EBBO"🙏
2026-08-30 10:42:59
1
ochuu59
Ochu tz :
Tulifaidi sana hizi ngoma aisee 🙌👊
2026-08-28 07:50:45
1
tasac.latra
Tasac Latra :
Basi Amefungwa Injini Ya Pikipiki,,
2026-08-28 11:01:06
2
ramsye25
Collora-92 :
Jamah alikua anajua sana
2026-08-29 03:22:30
0
khamiskhan727
Farhad Salman :
dah
2026-08-26 13:27:36
1
mkoyo_smarttech
Fabby mkoyo :
saiv angekua kwenye 30 ya bongo fleva
2026-08-30 10:57:15
1
sautiyamtale
Sauti ya MTALE :
ajali ajali🤣🤣🤣
2026-08-28 04:08:36
1
194_cactus
194_cactus :
Dah kitambo sana
2026-08-30 17:26:40
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About