@pasco.emmanuel0:

Pasco Emmanuel
Pasco Emmanuel
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 10:34:56 GMT
156811
9276
242
65

Music

Download

Comments

tete.mallya
Tete Mallya :
Ongera same to me
2026-08-30 11:51:16
1
adarshkaso
Sea Eater :
same like my family 🥰 my
2026-08-29 21:39:22
0
kwelimercy
kwelimercy kinyangaja :
ongera unawalea vizuri wanao 🥰🥰🥰😁😁siwez toa POLE kwenye vitu sahii kama hivi
2026-08-27 05:51:56
160
user837085955692
Jackline :
hongera kaka tunza mabao yako
2026-08-26 20:21:50
49
user6177269815099
user6177269815099 :
safi wanajifuza kazi mapema ili wasije kuteseka badae
2026-08-26 14:06:37
71
user0760124028.flo
Floriana💕💕 :
polen na kazi watoto wzuri,kwan mama yao yupo wap?
2026-08-26 16:00:18
41
leenydimpoo04
Leeny🦋dimpoo04 :
wadog zang watoke shule wajipikie wanawez itisha makam wa rais
2026-08-27 18:29:48
11
userfeyfey
Feyfey🎧 :
First born wakike shikamooo🙌🙌
2026-08-27 07:28:35
5
cate60148
cate :
watakua wazazi bora sana badae
2026-08-27 06:09:21
5
juniorsuddy3
juniorsuddy :
mm wanangu nimewafundisha hivi wanapka mpaka najishangaa kweli wamepka wanangu kwaiyo sio mateso na wana enjoy
2026-08-27 09:13:25
5
user11266549744
user11266549744 :
hongera kwa mama yao nmependa
2026-08-28 08:58:14
1
user9090068835872
salma gadafy361 :
yani hii video nimeipenda kwa kweli
2026-08-26 20:14:58
8
madamlulu89
madam,lulu :
naomba ije niwalee watoto wangu
2026-08-28 17:27:34
1
betylove053
tereza mgasa :
jamn mungu awazidishie waje kuwa wenye akili na kujilinda wenyewe
2026-08-27 04:07:14
10
annatoryjulius
Annatory Julius :
hongera kwa kuwalea watoto wako vizuri
2026-08-27 12:43:40
3
user497410617863
johar :
hivi ndio inavyotakiwa kulea watoto watoto inatakiwa wajue kufanya kazi . hongera pamban tuu broo
2026-08-27 13:12:19
7
radislaussimeo3
radislaussimeo :
bora hao Wana gess kabisa Mimi darasa la 2. nilikuwa natoka shuleni , nachanja Kuni naenda shambani kutafuta chakula alafu mbali natoka naenda kuchota maji , baada ya hapo naanza kupika ndo Nile. Mungu akulaze maali pema Baba angu niliteseka na wewe natamani sahivi ungekuwepo ukaona matunda ya mwanao 😭😭
2026-08-28 17:30:08
0
zoey.beauty5
@zoey beauty :
wewe nibaba mzurisaana ongera
2026-08-27 13:46:08
1
mwajaymuta
7 mother's twins :
Safi hapo baadae watapatikana wanaume wema na WA awake wema( hus&wife material)
2026-08-27 05:23:14
6
nuuh434
babenuuh🍭🎀 :
Pole sana wtot kwa kazi pia honqereni sana 😢 🙏
2026-08-27 12:06:17
1
pasco.emmanuel0
Pasco Emmanuel :
karibu sana unsaidietu
2026-08-26 18:36:59
1
jayoo.96
Tyner :
Sioni mateso hapo
2026-08-26 19:17:32
4
priscystore02
bei nafuu fashion :
mimi ni uyo binti apo 2008 nikiwa darasa la3,nmetoka shule natoa kitu fasta nile na maziwa ndio nifue uniform sasa🤣🤣🤣
2026-08-28 09:15:04
2
stebogwalawala
STEBO G WARAWARA🏁 :
kak nitumie jina la wimbo
2026-08-26 20:37:17
1
memo641946
memo :
usijali baba tutawalea wote
2026-08-26 14:11:53
0
To see more videos from user @pasco.emmanuel0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About