Vijana hawajui malengo ya kuowa, thamani ya ndoa wala hawana ujuzi/ uelewa wa talaka.
2026-08-26 13:07:42
22
Mr wayah💵💵💫🫶 :
i love islam
2026-08-26 18:38:51
0
pops Aunty :
KENYA HATUWACHIKI😂
2026-08-26 16:21:58
3
senior mwamkongo :
mm wangu sijamuacha hata moja lkn alikaa uarabuni kwa miaka minne akajasema hataki uke wenza je huyu bado ni mke wangu au hebu nijuze ustadhi niko kenya
2026-08-26 16:47:07
3
user927040284627 :
kuna mdogo wangu kaachwa tatu zote kwa pamoja kaandikiwa tu nmekuwacha talaka tatu ...hii imekaaje mana wengine wanasema ni moja
2026-08-26 17:38:38
1
Fatma Mbarak :
naomba number yako shekhe
2026-08-26 16:37:41
1
Bin Nasri :
haya ndo mambo yakujadili sasa maan jamnii ina hali mbaya..sio kila siku mashekhe zetu kutukanan kisa maulid tu kwakwel mtihan
2026-08-26 16:18:15
3
Zaynab :
nimejivua mara kadha kwenye hii ndoa(kwa maneno yangu mwenyewe bila mtu yeyote na sikupewa mahari) na kwa kuapa nina ndoa kweli
2026-08-26 13:08:52
1
Electrician. :
Kenya tumevurugwa😂lakini hapo hakuna talaka ✌
2026-08-26 15:28:21
0
Ammy💫❤️🔥🥰🫶🏻✨⭐️🍀🌿 :
Kenya hawaachikiiii😂
2026-08-26 17:54:32
1
sumaiya :
mashaallah tunashukulu kwakutupa elimu
2026-08-26 14:49:51
1
sadaali7588 :
Aslam alekum naomba naba
2026-08-26 11:03:02
1
the_praivate_alparslan :
aslm alkm
2026-08-26 12:42:34
1
Muammar qaddaafii :
Maa shaa a Allaahu ,Allaahu awape umri mreefu mzidi kutupa elimu
2026-08-26 15:51:04
1
mtazama 🔥 :
masha Allah mwanamke mwenye kukubar heri yake
2026-08-26 15:31:10
1
BAKARANI. CLEANING SERVICE :
2026-08-26 10:55:05
1
RahaHaqi :
MashaaAllah
2026-08-26 18:47:37
0
🇹🇿nelson balesa🇷🇼 :
shekhe Wang mselem
2026-08-26 19:23:13
0
Ummy Remmy :
mbona nimepitwa huku
2026-08-26 18:17:29
0
hadia :
mimi nina shoga wa dadangu kaandika talaka mwenyewe maana mume alisema ajui kuacha anajua kuoa. japo ana visa amuhudumii mke wala nini chakula ajilishe mwenyewe nk kwahio dada akandika yeye talaka akampa mume je hii imeswihi shekhe
2026-08-26 18:48:36
0
zink :
sas mm nataka kupga sim nifanyeje
2026-08-26 19:54:31
0
user11932219598087 :
mungu amleem shekhe mselem ali nampenda sana
2026-08-26 19:57:49
0
Mer~riyer💚 :
zikiwa ni 3,taratibu ni zipi?
2026-08-26 18:19:04
0
Eshabukheth🥰🥰💖 :
kweli kabisa
2026-08-26 13:46:27
0
To see more videos from user @mbtvkenya, please go to the Tikwm
homepage.