Wangu peefume ikiisha na nisiponunua nyengine ananuna
2026-08-28 07:59:54
5
khandy :
Nataman Maneno haya yamfikie Ex wangu.😅😅
2026-08-27 12:31:27
5
wisemama :
kweli kama hupewi huduma wallahi roho inauma stress kibao
2026-08-27 05:38:30
5
fantana❤️ :
dada asant wangu anihudumii arafu anataka Mimi ndonimuhudumie na nimuheshimu na bado ananifokea 😢😢😢
2026-08-27 17:09:18
4
Janeangel :
Heshima haiombwi heshima hujengwa
2026-08-29 08:00:57
3
Mum Shymaah💗 :
Moja Kwa Moja status 😅
2026-08-27 18:06:14
5
omar renge :
Heee boss una tuma Liza Pesa hatuna 😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
2026-08-29 12:56:08
1
TAQIYA S.DUNIA :
Nataka kuposti ila 😂
2026-08-29 13:50:18
2
Saadalicious Candy :
swadaqta daaa👌👌👌
2026-08-29 13:52:50
2
Tatiana Abrahmani :
very fact
2026-08-27 17:04:21
2
chabi615 :
fanya wajib wako wakumuheshim coz kwa Allah hutouliza ulilotendewa bali unaulizwa ulivotenda
2026-08-29 07:06:16
1
Buraq :
Nyie kaziyenu ni kutuvuruga tunapotulia na kutuliwaza tunapovurugwa
2026-08-27 07:28:35
0
Aboud Abdurrahman :
kuna tatizo mahali
2026-08-29 13:30:03
1
king_omar :
safi saana
2026-08-29 14:06:00
1
mariamu :
sahihi.dada🥰🥰🥰
2026-08-28 07:34:32
1
MAHFUDH MOHAMMED MAHFUDH :
SUBHANALLAH
2026-08-28 12:28:08
2
Naiyya 33# :
afu africa eti kipimo cha ndoa ni kudumu mda mrefu ndio tafsiri ya ndoa bora ,wakati mm navoelewa ndoa bora si mda mrefu mliokaa kwenye ndoa ni mapenzi ,huruma na kuheshimiana na maelewano nk
2026-08-27 18:27:40
3
feizun batoto bawetu :
kama unaniona mwenethu ila umepoteya sana dadangu 😂😂😂
2026-08-26 23:16:43
1
Ashalina :
sema dadaaa🤣😂😅😆
2026-08-27 08:18:20
2
Mama naifat :
hii naweka status vzr liwalo na liwe bwana
2026-08-29 12:32:02
2
ida :
Fact Habibthy
2026-08-28 16:39:55
1
To see more videos from user @habiba.maurid, please go to the Tikwm
homepage.