@bbcnewsswahili: Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi kumeendelea kuzua mjadala miongoni mwa jamii huku wengi wakionesha kushtushwa na uamuzi huo. Nchimbi alitangaza Agosti 25, 2026, kuwa ameamua kustaafu siasa na utumishi wa umma, na kwamba atajiuzulu rasmi nafasi hiyo kuanzia Septemba 4, 2026. Je Watanzania wanazungumziaje hatua hii? 🎥: @frankmavura #bbcswahili #foryou #fyp #emmanuelnchimbi #siasa

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 11:04:10 GMT
63512
3481
75
31

Music

Download

Comments

romanticcode
romantic :
sisi tunasikiliza chama zaidi sio wananchi
2026-08-26 11:58:36
18
richwise100
Richwise :
CCM ni wazalendo wa chama chao ila sio wazalendo wa nchi! kiufupi CCM ni janga and wanatakiwa kuondoka madarakani😏
2026-08-26 11:50:32
11
brianking415
BRIAN🍎 :
sababu mbna zipo wazi October 29 amna kufunga macho apa wala kumumunya maneno
2026-08-26 12:18:24
17
psycho.batman
Fox_Tz :
2030.. mgombea No.1 CCM Nchimbi hoja yake ya msingi ni katiba mpya.. kumbuka samia alishaAhidi katiba mpy baada ya miaka mi5 toka amepachikwa madarakani.. Hiy yote ni kumjengea usafi wa kuwa mgombea No.1 CCM dahh 😅😂... FREE LISU
2026-08-26 11:52:47
11
millow.brown
millow brown :
baba levo ameongea neno wao wanasikiliza chama zaidi elewa neno zaidi,, yaani kuliko wananchi walio wachagua
2026-08-26 13:09:01
3
user8500013907353
Irene kafem :
wamama hawajawai kosea
2026-08-26 14:25:06
2
111zanzibar
ŁÄẄÀMÀ 🔞 :
me nacheka
2026-08-26 13:56:30
2
mjimo67
Mjimo Mc Mgumu :
hatuna amani raia mpaka viongozi wakubwa
2026-08-26 11:36:47
2
calmsam1
Calmsam :
Chama kimechoka kusimamia haki, wapenda haki lazima wajitoe
2026-08-26 15:58:43
5
christinaemmanuel65
christinaemmanuel65 :
Nchi yetu imekua haipo huru ten
2026-08-26 11:24:51
3
user6093786125559
user6093786125559 :
chama cha mapindizi kijitafakali sana kwa taswira ya nchi na chama chenyewe
2026-08-26 18:29:15
1
mengijr937
[email protected] :
ata mi sina chakusema
2026-08-26 11:09:24
2
user5052348356634
iluminata John :
tunataka katiba mpiya
2026-08-26 11:53:37
2
vmoney.73
vmoney 73 :
kwani vyama vingine havina watuu yaani ccm mnapenda kujiamulia mambo
2026-08-26 11:39:15
2
mo.wezzy8
Mo Wezzy :
chama kina watu wengi km baba levo na mwaipopo
2026-08-27 15:06:18
1
balozi493
Balozi :
mhhh mimi si comment bana
2026-08-26 11:07:53
0
hussein.abdullah440
editer man 440 :
hii nii mchakato wa kumfanya presden wa tz hii ni mchezo tu na mtaona anzeni kumzoea samia hii ni awamu ya mwisho so lazima watengenze mtu wa kumriti
2026-08-27 07:53:47
0
baba.wa.imaan
Nyota ya kheri🌟 :
Siasa ni game isiokua na sheria, sasa wewe tumia hisia kuwajadili wana siasa.
2026-08-26 17:38:32
2
user423667504311
Saidi ramadhani mpita :
mm nataka rais ajizulu
2026-08-26 11:44:02
10
wanyamafc
BOY FROM TANZANIA :
hawakumbuki wakati wanaomba kula sa hv wanasema chama kina watu wa kila aina ni kwel
2026-08-27 09:57:43
1
fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Kwanini jambo la kutamausha hufanywa kuwa habari kubwa kuliko kawaida....!?
2026-08-27 20:02:24
0
hussein.abdullah440
editer man 440 :
hii nii mchakato wa kumfanya presden wa tz hii ni mchezo tu na mtaona kwa anzeni kumzoeya
2026-08-27 07:52:01
0
b.ink.evolution.p
B Ink Evolution Pro 🇹🇿🫶🦾 :
@B Ink Evolution Pro 🇹🇿🫶🦾:Oscar Kambona 💯 umenikumbusha sana school nilikuwa na appreciate saana history Yake 💯 nimemsoma vizuri sana na kumfatilia 💯 I Love You Tanzania 🇹🇿 ♥️💯 Nipo Pamoja Nawe 💯♥️Pole Mheshiwa Nchimbi ♥️💯 Tanzania hitakukumbuka na Siasa za Tanzania Zitahifadhi Halakati Zako Ndani na Njee Pia 💯♥️Tuipende Nchii Yetu ♥️💯Tusijikatae wenyewe, Tusiwekeane Migogorp, Mqkubaliano Ndio Njia iliobora Sana, Sisi Sote Ni watoto wa Baba na Mama Mmoja 💯 Tanzania Ndio Baba Na Mama Pia Hakika Tuitangaze na Kumea Dunian Kote Katika Ngazi zote, Siasa imara, Upendo, Amani, Utulivu, Mshikamano, Nidhamu, Uzalendo, Ujamaa, Na Kujituma Pia. Tufanyieni hivyo Viongozi Wetu Sisi Watoto Wenu Ndio Mboni Zetu Zipo Kwenu Mkihalibu Nyinyi Sisi Tunahalibikiwa Pia Tunawaangalia Nyie Mtuongoze na Mtupeleke Nchii Ya Ahadi. Respect Dkt Samia Suluhu Hasani, Respect Viongozi Wote Tanzania 🇹🇿 ♥️💯 Tunyoosheni Njiaa watoto Wenu na Wananchii Wenu Tunawaamini Hakika Mnaweza ni Hayo Tu NAKUPENDA TANZANIA 🇹🇿 ♥️💯 MUNGU BARIKI TANZANIA MUNGU BARIKI AFRICA 🌍 💯♥️🥰.
2026-08-27 07:09:57
0
dalas2280
dalas :
hy sio yuda
2026-08-27 09:43:26
0
desmartmsafi
DE SMART MSAFI 🌍🇹🇿 :
🤝
2026-08-26 11:10:00
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About