@sophyntibah: Maisha yetu ya uswahilini ni mazuri ila tabu inakuja unapoanza kumzoea dada wa kazi wa jirani yako kuliko ulivomzoea mwenye nyumba, unakuwa na nia gani?! Kama hujamzoea mama fulani usimzoee msaidizi wake mpaka unaingia nyumba za watu wenyewe wakiwa hawapo!🙌🏻
dada kipenz Asante sana umefikisha ujumbe ipasavyo umenikosha kwel na sio tamthilia TU hata sisi mabos zao tunajadiliwa dada looh majiran kiboko😂😂😂😂😂😂
2026-08-26 17:28:17
8
Tina Mwasekaga :
Tena wanaombaga hadi vitunguu hao😂
2026-08-26 12:18:03
25
user8500980267651sumiya nach :
kipenz kunywa peps ya barid walakhi yan m🙌🙌
2026-08-26 13:07:19
13
Ngwasi Ilanga :
yaani dada naona hata nikiweka statas ujumbe kama hautafika sijui niwe ñawaita Moja Moja nawaonesha hii video wananikela 😳😏😏😏😏
2026-08-26 14:07:30
15
sarah :
unakuta wengine kwasababu kabila moja ,akija kwako wanaanza kuongea Hadi kilugha😂..wewe jirani yake hana habr na wewe
2026-08-26 13:23:44
12
Maria Daffar :
Mm majirani wakipita wana msalimia mama wawili kwema?? mm naambiwa habari yako. mara wanakuja kuomba sukari. nikiwepo hawapi nikiwa sipo anawapa. wananiambia una Binti mzuri anajielewe sana. Binti mwenyewe anajua habari za watu mtaani , mm siwajui. Mungu atusaidie tu. maana hata watu wabaya ni rahisi kutufikia kupitia Hawa wadada
2026-08-26 17:02:44
5
user7595817812303 :
ningekuwa na no za majirani ninge watumia
2026-08-26 13:26:20
7
MOYOSaloon :
Natamani nimtag jirani yangu🤣
2026-08-26 17:29:50
1
Alisia Simon :
mimi siwez kkosa kuzoeana najilan maana ndoanazijuha tambia zako jinsi onavo badili wadada
2026-08-26 19:14:01
5
Salome Mboi :
waite basi hapo uwambie huku hawapo😁😁
2026-08-26 19:34:22
1
Mariam Kakwaya :
nipo na dada hapa anakusikia😂😂😂
2026-08-26 14:38:28
2
🦋Mii,,🍭Faveee🌷 :
Apa kwangu kuna jilani alianza tabia yakumtuma tuma binti yangu nashangaa mtu akienda kwenye tank kuchota maji harudi na tank ni ndani humu hum karibu na geti lakuingilia kumbe akienda pale wakimuona amesimama anasubiri maji yajae wanamtuma dukani wanamwambia yakijaa watafunga imagine 🤌🏻 mtu ana watoto wake ndani tena wakubwa tu anaacha kuwatuma hao anamtuma binti yangu mm sasa kuna siku nmekaa mtu harudi nikasema Ngoja nitoke maana alikua amembeba mtoto mgongoni natoka namkuta kabeba kontena 3 za chakula anagonga mlango wa pale kwa jirani nikamuuliza nini icho akasema ni chakula walimtuma akanunue mgahawani yoooo nilichamba familia nzima saivi hatusalimiani na dada nikamwambia ole wake nmkute anawafanyia kazi watu wengine wakati mimi ndie namlipa Kama vipi akae nao hao hao yani nilikereka ila niliwachamba mno najua kile chakula chenyewe hawakula kwa raha
2026-08-26 19:25:53
0
Mariam Dachi :
Semaga wewe ndugu..Mimi Hadi viombo vipo kwa jirani
2026-08-26 16:45:13
2
GQ :
Mi kuna siku nimeingia jikoni nataka niweke chakula kwa freezers sioni vicontener vya mfuniko karibu vyote kuuliza kimya nikamuita mtoto sindyo kusema mama Fulani anakujaga dada anampa chakula nyieee alaf huyo mama hata haniongeleshag 😆😆😆😆
2026-08-26 16:17:35
3
veeymluti :
Mm wa kwangu kapewa na maneno yaungo na akaindoka sina hamu
2026-08-26 19:52:11
1
To see more videos from user @sophyntibah, please go to the Tikwm
homepage.