@bakesgalore: A Classic Vanilla Cake 👌🏾 Ingredients * 200g butter * 200g sugar/sukari * 4 eggs/mayai * 200g unga wa PPF (nimetumia Azam) * 1½ tsp baking powder * ¼ tsp salt/chumvi * 120ml milk/maziwa * 2 tsp vanilla * ½ tbsp vinegar (1½ tsp) **tsp = teaspoon/kijiko kidogo cha chai **tbsp = tablespoon/kijiko cha chakula **ml - unaweza kupima kwa grams pia Washa oven wakati unaanza kuandaa cake yako kwa moto wa 180…na utaibake kwa dakika 50 tuu Enjoy the recipe 🤗
Bakes Galore
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 11:30:35 GMT
Music
Download
Comments
mimah🥰 :
Kwa kufata maelekezo yakoo
2026-08-30 16:29:56
5
Divvah😘 :
jamn nimejalibu
2026-08-28 20:01:10
6
Maryam :
Hiyo ni butter au prestige?
2026-08-27 19:07:21
1
zahraMinah :
hey
kindly 200g flour ni 1 cup??
2026-08-31 12:00:59
1
zayfarhan :
nimepika.kwa ges😂😂
2026-08-27 14:24:19
2
mysterious.lady :
thanks for the recipe,and nimependa pia baking tin yako,can u please share umenunua wapi?
2026-08-27 07:21:50
0
deborah muderwa :
kama sina prestige nitumiye mafita ya kula?
2026-08-31 13:18:10
0
Chevoh family🇰🇪🇺🇸🙏 :
mi yangu ilitoka ugali😳
2026-08-31 09:27:03
0
Angela Mambo :
nzuri sanaaa nitaijaribu hii..lakini naomba kujua vinegar inasaidia Nini kwenye cake
2026-08-26 17:54:21
0
MeTkA :
the best
2026-08-28 05:20:53
1
zulfa_🧕🏼🌸 :
yang hii🥰
2026-08-27 11:12:19
2
vailethderrick :
sorry! una darasa la cake?
2026-08-30 14:20:42
0
Mama Triplet😇 :
Asante cake tamu
2026-08-31 10:06:23
0
sisterlocks_saloon :
Tulienda vizuri Ila hapo kwenye oven hapo 😂😂😂 sina oven Mimi
2026-09-01 13:48:45
0
🌸🤎 :
Moto wa juu na chini au wa juu tu?
2026-08-29 17:22:03
1
mom :
ni sawa na cup ngap hivi vipimo
2026-08-31 04:48:01
0
mrs.bellarie :
Moto wa juu,chini au kote? Mimi ni beginner kabisaa
2026-08-30 06:32:05
0
Renee :
mi nafanya hvyo lkn mchanganyko unakatika
2026-08-28 03:37:45
0
DOUBLE H COLLECTION :
mayai mangapi
2026-08-26 19:23:37
0
Fatma Mbarak :
mashallah very nice cake
2026-08-26 14:20:40
1
Mwanaisha haji :
samahani my wangu unga ni kiasi.gani plz??
2026-08-27 04:43:17
0
Miranda sweet cakes🍰🎂 :
unatumia baking powder ipi?
2026-08-27 02:41:23
0
datty🌸🌺 :
keki hii ni tamu jmn na mm huw napk hv jmn utamu wakeee hakikish Kila alichofny ufany hvy hvy utaenjoy
2026-08-27 17:09:54
1
zulfa_🧕🏼🌸 :
ila huwa nataman nikipika iwe ya rang kam yako
2026-08-27 11:13:49
1
To see more videos from user @bakesgalore, please go to the Tikwm
homepage.