jina Maarufu ni Kotmiri
ila utumabie bhana dawa ya nini sio kutuzungusha akili
2026-08-26 23:45:58
15
Mohamed Ali :
Hiyo ni kotimiri sio giligilani
2026-08-27 19:49:21
6
princess :
hiyo giligilani Ni parsley au coriander?
2026-08-26 15:09:27
9
Ester Willy :
Atakae tumia aniambie inasaidia nin
2026-08-26 12:24:06
8
Ayochriss :
niko gengeni apa ebu nikumbushe jina ulisema unaitwaje vile
2026-08-26 16:58:09
5
warda ISSA🫶💖 :
naweka sukari au
2026-08-26 19:09:01
0
Jasmin Ahmed :
ninzuri sanaaa mimi natumia
2026-08-26 13:46:44
2
Niyonzima Didbel :
madikitari wa TikTok haya nisaidiyeni dawa yakicwa kikiuma kabla ya kuingiya kweny hedhi, Yani ikibaki siku2 ama 3 kabla kuingiya kweny hedhi kicwa kinauma, Nini dawa yake, maana Mimi nakunywa Hadi Panadol ila hakipoi
2026-08-27 13:48:25
2
sarah ibrahim :
mbona sielewi iyo Kwan ina harufu? mana yapo aina mbili
2026-08-26 12:59:16
2
I'M EXCELLENT I'M FAVOUR &😇 :
Dania I will try it
2026-08-29 02:24:58
1
buchaina :
mm giligilani ya majani ilinikataa nikila naharisha saana 😢😢
2026-08-26 20:11:13
2
Edgar John :
unaeka sukari boss au hauweki
2026-09-14 12:10:17
1
Ramadan Amour :
Sasa lita moja yote utumie wakati mmoja au
2026-08-26 13:30:48
1
ghagha :
io n 10 kenya dania
2026-09-02 14:29:14
0
poline mugo :
ndania
2026-08-26 18:52:39
3
SADIKI DIHOMBA :
inasaidiaa nn
2026-08-26 12:24:58
2
naimaerickngoya :
inatwa Dania au cotimili
2026-08-27 05:08:54
1
Mariam Mawe :
ndio
2026-08-26 22:04:50
0
esajol beauty&cosmetcs :
okk
2026-09-21 10:03:46
0
saruu :
unatumia kwa mda gani
2026-09-15 00:58:05
0
Joy2026mary Mariamarium :
Mimi najua ni nzuri kama period imepotea
2026-09-14 02:25:43
0
Sifa Bahane Mwishingo :
next
2026-09-09 05:15:21
0
Babylizzy Mayumba :
Nisaidie dawa ya kiuno nikiingia period Huwa kinaniuma sana na kabla ya kuingia wiki Moja kabla nashindwa Hadi kuinama
2026-09-09 00:34:21
0
Gb :
Wale wa comment section tujuane 😂😂😂
2026-09-25 21:14:04
0
To see more videos from user @ngogoherbalist, please go to the Tikwm
homepage.