hv kweny kutemgeneza ice cream zigande kama zile za azam unaweka kweny friza hzhzi za nyumban? nikiweka zinakuwa kama jiwe,wkt ,ile HD kuchoteka zinachoteka na unakuwa ni barid
2026-08-27 15:23:51
12
MAMA G❤️ :
ongea taratibu ili nikuelewe
2026-09-24 17:33:43
3
Fina Seleman :
Si ntagombana na wanangu maana mwingine yupo tumboni,anatamaa uyoo🤣🤣🤣😂
2026-08-27 15:45:27
9
Magreth boniphace :
kama sina yogat???
2026-08-26 18:19:49
3
Local Meals :
bila yogat naweza weka nn badala yake
2026-09-25 12:49:21
0
babytuu :
kama sina asali
2026-09-24 15:11:28
1
Glory kweka :
haina mambo mengi ngoja tutengeneze😂
2026-08-27 10:10:36
18
zouh 🤗 😍 :
hii nitakuwa natengeneza mwenyew
2026-08-26 13:33:50
17
Rais Zai :
Iko kingine nini
2026-08-26 17:29:59
2
zahra jooh :
asali ndo itanishinda
2026-09-17 08:43:21
1
Noreen lovely :
niweke na sukari
2026-08-26 14:23:05
2
Hawya queen :
😂😂Utatununulia dawa ya vikohozi au
2026-08-27 14:28:57
1
princessprinces784 :
Mapema tu leo naenda kutengeneza😋
2026-08-27 08:46:33
6
Emmy Killeo :
Samahani hatuweki vanilla na condenser milk
2026-08-26 16:21:32
8
shalomshaa5 :
kesho mapema
2026-08-31 17:07:14
0
Winfrida Msinga :
😜😜me mwenyewe ninavozielewa
2026-09-06 12:29:56
0
Mama3G :
weee rahisi ivi
2026-08-27 11:21:29
2
MRS 🥰🥰 UCHEBE :
sasa mbon sisi kqwt inakagndaa ndnd. ai kam y azm wenyew
2026-08-29 16:22:53
1
G msangi :
leo mapema🥰
2026-08-27 05:28:32
2
Jackie store :
askrim❌ ice cream ✅
2026-08-31 15:07:08
1
Glory Mtui830 :
ndizi, tikitiki, asali, yoghat, kisha blend
2026-10-04 18:56:12
0
Yema Numbi :
Asante
2026-10-03 23:05:12
0
user1742133269281 :
amazig
2026-09-28 13:57:25
0
To see more videos from user @dm_mzava, please go to the Tikwm
homepage.