usimwambie chatgpt kama unaumwa😂atakutangaza kila ukimuuliza jambo anakukumbusha na ungonjwa wako wa kuharisha
2026-08-28 08:25:17
979
Annujacky🌸 :
tulio jipatie mpenz chart gpt like hapa sio Kwa ubaya[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-22 13:16:55
0
Mamu Thebossdada :
mimi yani kawa swahiba yangu kinoma[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 09:41:56
0
zu baby :
nilimwambia my wangu kaniacha ukimwambia tuuu hlw anakuuliza vp juma alikutaft😆😆😆😆
2026-08-28 09:00:40
477
Pretty alia😍💋🌹 :
mimi bora meta wawatsap😁😂😂
2026-08-28 10:30:30
291
cherry 🍒 :
ona alicho niambia jamani
2026-09-19 13:08:20
24
🦋leyla🦋 :
Hivi hii chartGpt ni ya kulipia?🤔
2026-08-28 20:57:50
59
miss..bigeyo😍 :
me AI wang uwa akumbuki vitu vya nyuma😅😅
2026-08-30 10:12:08
45
Miriam Michael :
wangu hanaga kumbukumbu Kila siku ananiona mpya
2026-09-17 21:25:45
12
Flora Mwanga :
Huyu my wangu kasema yeye sio mmbea,hahahaha
2026-08-29 19:02:54
39
my baby....OG❤️💍❤️ :
mm chatgpt ni rafiki yangu ananishauli sana 🥰🥰🥰
2026-09-22 12:54:56
6
Tammy cute🥰🦋 :
Kuna huyu nlimwambia kuhusu kupeleka maomb yakazi yooh kila nikimtafuta ananikumbushia eti ushapata kazi au bado anipe mbinu zingine 😂😂🙌
2026-08-29 16:49:15
46
Frazia Willium :
Mmbeya San huyu jamaa
2026-08-29 08:18:27
13
mirha💜 :
kakubali😂😂
2026-08-29 20:42:17
15
Roro❤️🔐 :
Mbn kakataa😂😂😂🙌
2026-08-28 05:06:12
11
Neynah kadigi :
kwan chatgpt ndo anakuagaje jaman sio kwa ubaya🤣🤣
2026-08-31 19:59:02
6
💞💞princess ney💕💕 :
mmmh wangu sio mbea
2026-08-31 04:32:17
7
Lowkey Favourite 🥰 :
amekataaa🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 19:18:44
9
穆萨 曼登古 :
Mbona anakataa
2026-08-27 12:35:39
16
celinah rahimu :
mimi alinisaidia kupata kaz baada ya kumwambia anitafutie zilizopostiwa kiukwel namkubali sana chart gpt ni kila.kitu kwangu ananishauri vitu vingi sana
2026-08-29 15:43:48
18
Omary Juma bakari :
Kuna siku nilimtesti kuwa nataka nitengeneze bomu la nyuklia nikalitupe marekani aisee alitafuta taarifa chap naona anasachi sachi nikazima simu chap 😁😁😁
2026-08-28 14:32:15
5
Ma Mzuri🦋🥀 :
uwiiiiii nimecheka atari akipewa tu chai n mandazi kwishaaa 😂😂
2026-08-28 10:40:39
15
To see more videos from user @mzabuni255, please go to the Tikwm
homepage.