@tv3.online: MKUU WA MKOA WA.MJINI.MAGHARIBI ATEMBELEA SOKO.LA.CHUINI KUSIKILIZA CHANGAMOTO.ZA WAFANYABISHARA

TV3 ONLINE
TV3 ONLINE
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 13:32:42 GMT
13324
228
7
13

Music

Download

Comments

user3079205173486
chum :
150,000.kwa mjasiri amali aliejiajiri kujing'amuwa na umaskini kumwambia alipe pesa hiyo ni kubwa sana.
2026-08-27 04:33:04
7
user8342116113618
Omar bare :
laki na nusu nyingi hasa kwa biashara iyo
2026-08-28 23:12:03
0
user6701732385561
abasi :
hata ukisema dada bure limejengwa soko lazima ulipie jengo
2026-08-28 04:40:09
0
user9268166674381
user9268166674381 :
Kwel mama unavosema wapo juu sana kwa ilo
2026-08-27 07:55:41
0
aliy.omary12
Thiago Ramiley 06 :
kuna mda ATA raisi wetu hahusiki tatizoo Hawa walopewa mamlaka ... ikiwa kama raia tumejengewa kujisaidia anglau basi tulipe Kwa mwez elf 30 au Kwa kila siku Mia tano ..... utakuta mtu anauza mchicha tu ana watoto 5 ukianglia yeye mama na yeye Bibi pia hivi anapata nini apo kusema ukwel badala yake kuzalilika tu viongoz jitahidi ktk Rai zenu sio kutengneza Kodi tu pale watengenezeeni maisha mazuri masikini Sisi hatuitaji magar tunahitaji pesa ya Kula tu nyumbn
2026-08-27 08:36:26
1
khamis.omar09
Khamis Omar :
mama biashara haina mwanamke wala mwanamme
2026-08-27 07:06:37
0
omar_yobo86
Yobo :
KWA ALLAH KUZITO INNALILAHIWAINNAILAIHIRAJIUN
2026-08-27 04:27:56
3
To see more videos from user @tv3.online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About