@abdulatifuhamdani: #MashaAllah

abdulatifuhamdani
abdulatifuhamdani
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 13:54:56 GMT
151951
11095
199
614

Music

Download

Comments

allmindhir
MU-NJID١٥/٩🫧 :
Layyā (Lia) bint Ya‘qub. • 👨 Baba yake: Nabii Ya‘qub (Yakobo) • 👦 Kaka yake: Nabii Yusuf (Yusufu) • 👨‍🦱 Mume wake: Nabii Ayyub (Ayubu) • 👶 Mwanawe : Nabii Dhul-Kifl
2026-08-27 14:19:22
75
khamisyussuf23
Khamis Yussuf :
ilya bint yaakoub a. s
2026-08-26 14:35:13
9
reshmaarafat
Reshma khan :
Baba yake: Ya‘qub (عليه السلام) — Mtume • 👦 Kaka yake: Yusuf (عليه السلام) — Mtume • 👨 Mume wake: Ayyub (عليه السلام) — Mtume • 👶 Mtoto wake: Dhul-Kifl (عليه السلام) — hutajwa na baadhi ya wanazuoni kuwa Mtume
2026-08-27 12:45:03
24
bin.mohd23
Bin Moh'd :
Kaka yake ni mtume Yussuf AS Mumewe ni mtume Ayyub Mtoto wake Dhulkifli
2026-08-26 16:29:15
28
mohdsaleh480
mohdsaleh480 :
Katika historia ya kiislamu Nabii Yaaqub alikuwa na watoto 12 ambalo wote ni wanaume, kwahivyo hilo jibu ni uzushi tuweni makini jamani.
2026-10-05 11:41:53
1
khalidhassan2294
khald hassan :
Laya bint Yaqub - anaitwa pia **Alia au Layya**. Ndiye binti pekee mwenye sifa zote nne: - **Baba yake ni Mtume:** Nabii Yaqub (Jacob) (AS) - **Kaka yake ni Mtume:** Nabii Yusuf (Joseph) (AS) - **Mume wake ni Mtume:** Nabii Ayyub (Job) (AS) - **Mtoto wake ni Mtume:** Nabii Dhul-Kifl (au kwa riwaya nyingine Nabii Bishr) Wengine humuita kwa jina la **Rahma bint Afram bin Yusuf**, lakini maarufu zaidi ni Laya bint Yaqub.
2026-10-16 11:01:45
4
ibnuissack159
Idris Issack :
Hilo halipo katika historia ya kislamu
2026-08-26 19:44:54
3
fatmh5234
flower :
wau ningesema Fatma kumbe sio sahii😄
2026-10-14 07:36:59
0
abuuharis
Ahlu zamaan :
ilya bint yaquub
2026-09-11 18:55:29
2
chapakazimusic
DR.MUHAJIRI :
Mwanamke anayesemwa katika baadhi ya simulizi za Kiislamu ni Liya bint Ya‘qub: Baba yake: Nabii Ya‘qub (A.S.) Mume wake: Nabii Ayyub (A.S.) Mtoto wake: Dhul-Kifl (A.S.)
2026-09-03 13:54:04
4
zayana.makowe
Zaynishar Makowe :
Maryam
2026-09-11 09:24:24
0
user1086810844110
Ñûrëiñ :
ni Mariam....ila babake Imran hakuwa mtume lakin alkua mtu mtukufu zaidi
2026-08-27 07:27:28
7
rehema.edambo
rehema edambo :
Maashallah hili nilikuwa silijui Alhamdulillah leo nimelijua Allah awalipe
2026-09-21 05:27:29
6
user3561031844814
Alfer da Zahira Abu :
NI ILIA BINTI YAKOUB
2026-09-25 16:15:02
2
ghazala209
غزالة الجابري :
hilya sio lliya
2026-10-03 03:52:39
2
allyjoro
ALLY :
mariamu
2026-09-20 05:48:51
1
asyakaa633
cute one :
jina lake aliyaa
2026-09-30 11:39:22
0
nandumasaid
Nanduma Said :
Mashaallah
2026-09-21 17:24:04
1
waziri.mussa53
Waziri Mussa :
Bint ni Laya, Baba yake ni YAQUB (A.S), Kaka yake ni YUSUF (A.S), Mume wake Ni AYUB (A.S), Kijana wake ni Dhulkifl (A.S)
2026-08-27 13:46:28
5
khairatothman606
الحمد لله على كل حال :
llya bint yaqoub
2026-08-28 07:11:38
5
said.mwalim
Said Mwalim :
baba yake nabii yakub kaka yake nabii yussuf mumewe nabii ayyub na mwanawe nabii dhul kifl na yeye anaitwa laiyya
2026-08-29 14:44:19
3
sada.habibu31
sada habibu :
mashaaallh mashaaallh
2026-08-26 16:23:25
2
madale7747
madale :
jamani nisaidieni hapo mbona kama sijaelewa maana navyojua Mimi nabii yakubu ndo baba yake yusuph vipi anakuwa kaka yake yusuph naitaji elimu wewe uliyepost
2026-08-26 16:14:45
2
yassinhussein330
Yassin Hussein330 :
ilya bint yaqoub AS
2026-09-16 12:14:56
1
kbos41
Mr☠ kbos41 :
Tatizo maji
2026-08-27 23:45:06
1
To see more videos from user @abdulatifuhamdani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About