@jukwaa.la.maarifa: ‎Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Ameendelea Kuwakumbusha Baadhi ya Wanawake Ambao Wamekua Na Tabia za Kupakwa Rangi Na Baadhi Ya Wanaume Ambao Si Wanaume Zao ‎ ‎Dunia ya Sasa Kumekua Na Tabia ya Baadhi ya Wanaume Kazi Yao Kubwa ni Kuwapaka Rangi Wake za Watu Kitu Ambacho Akipendezi Na Si Jambo Salama Kwa Wale Ambao Wamekua Na iyo Tabia ya Kufanya Iko Wanachokifanya ‎ ‎Baadhi Yao Wamekua Wakizungumza Wanafanya iyo Kazi Kwa Mlengo Wa Kazi ya Kujiingizia Kipato Kitu Ambacho Kwa Uhalisia Zipo Kazi Nyingi Ambazo Unaweza Kuzifanya Na Ukajiingiza Kipato ‎ ‎Kushika Miguu ya Wanawake Wengine Na kuwaosha na Kuwapaka Rangi za Miguu Ni Kitu Ambacho Si Sahii Na Si Jambo Zuri Kabisa

JUKWAA  LA MAARIFA🕌
JUKWAA LA MAARIFA🕌
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 14:01:28 GMT
14814
570
10
183

Music

Download

Comments

user5985818192222
user5985818192222 :
kwani rangi yaruhusiwa
2026-08-26 17:58:29
1
halma.shaban.hass
Halma shaban Hassan :
allah atunusulu keakweli
2026-08-26 16:40:36
1
hamadiakarahani
Hamadi A Karahani :
Kuna wanaume ni mabarazuli sana
2026-08-26 14:50:59
1
sadounahi
sadou :
kwish habari ivi sheikh unajuwa raha ziliyoko pale😂😂😂
2026-08-26 22:17:17
1
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About