Hadi naogopa jamani, nawezaje kuvunja sasa huo muungano wa nafsi za wengine mtumishi 😭
2026-08-26 16:28:30
42
airini msuya 05 :
naomba mnisaidie hili kanisa like wapi?
2026-08-27 09:01:44
15
peyton🎀 :
my felo bikras tusubili ndoa , don't test that sin 😂🙌
2026-08-26 17:01:11
32
winniek :
tunajitoaje humuu
2026-08-26 18:51:28
17
bby fransisca :
MUNGU NAOMBA UNIREHEMUUU.
2026-08-26 15:38:43
59
AKYOO JR⚽🇹🇿🇫🇷. :
why mnaita ni dhambi wakati ni nature ya kiumbe hai yoyote .
2026-08-26 20:00:55
3
osenga :
mnaniuzi sana kwan zambi ni moja tu
2026-09-08 16:23:09
2
mlugurudigitalsolution.tz :
ukishaifanya iyo dhambi na ukaamuwa kuiacha inachukuwa muda gani kuondoka kabsa kwanguu
2026-08-29 10:49:38
6
Edwine kakuruEdson :
Mm nilisha zini sana Mwenyezi Mungu nakuomba nisamee mm nisamee mm MUNGU wangu nisamee sana Bwana wangu unitangulie nisije nikazini tena mpaka pale utakapo niletea mwanamke sahihi
2026-08-27 10:59:48
15
KB COMPUTERS TZ :
ni mstari Gani wa Bibilia Umesema Kua Ukizini Unaonganisha Nafsi naomba Nikausome
2026-09-12 07:37:05
0
Aiem jazlynn :
😭😭😭😭😭😭MUNGU NAOMBA UNIREHEMU NISAMEHE NIMECHOKA DHAMBI HII INATAKA KUNITOA UHAI WANGU MUNGU WANGU NISAIDIE
2026-10-05 05:05:42
2
mileny :
Is true
2026-08-27 05:38:25
2
Faith :
Mungu anisamee kwakwel 🥹🙏
2026-09-03 07:50:01
1
isack kileo :
mungu naomba unitoe kwenye roho ya uzinzi mm na familia yanguuu
2026-08-26 16:02:55
18
Am_Jackline Massawe. :
JAMANI WATU WANACHUKUWA ENERGY YAKO IKIAMBATANA NA NYOTA YAKO KAMA ULIKUWA KARIBU NA MUNGU KUNAMDA HUJIFEEL KABISA KUSALI YANI UPO UPO TU INAFIKIA STAGE MPAKA WEW MWENYEWE UNASHINGAA SO UKIBAATIKA KUIEPUKA IYEPUKE NA UMSHUKURU MUNGU 🥰
2026-09-05 13:23:21
8
Festo James :
True 💯💯💯💯💯 Mungu Niepushe na hii Laana na Nuksi 🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️kwasababu inaharbu sana Future za Watu wengi
2026-09-22 19:55:57
2
ISRAEL 🇮🇱 :
yesu turehemu maana amna alie salimika kwenye hili ndio mana neno lako linasema watu wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu. Bwana yesu nirehemu mimi pamoja na vijana wenzangu mana umesema tubuni basi mrejee ili zije nyakati za kuburudishwa kwenu tunaomba rehema Bwana have mercy have mercy my God....😭😭😭
2026-08-27 08:11:43
7
Charity :
Sahihi baba 🙌 🙏
2026-09-08 06:23:15
2
evn @ official :
ubarikiwe mtumishi kwa kutukumbusha 🥺🙏
2026-09-21 10:32:28
2
KapoulwaD :
how to get out we need solution
2026-09-09 18:39:39
0
masaki health care :
nmegair hii safar
2026-08-27 11:46:16
3
ESTER :
Mungu nisamehe sana nimezini muda sasa niwakat wakujitoa uko jaman
2026-09-06 19:39:32
3
nebulakhan_gram :
kwanini unazinii lakini😳
2026-08-31 17:58:22
2
HOPE Styles 🥼 :
Yamenikuta namuelewa sana mtumishi 😭😭
2026-09-10 22:33:59
1
mr mnyebe :
kwann jamani mm ndio staleeyangu au nifanyeje
2026-09-02 12:05:28
0
To see more videos from user @emmanuel69973, please go to the Tikwm
homepage.