daaah kwel nom2 family ze2 so pw et ila God at bles kk🙏🙏🙏
2026-08-27 20:52:15
3
Lusajo Mwambemba :
noma sn mung abres Kaz za mikon yet
2026-08-29 15:30:49
0
Mariam Stephano :
inauma sana love you my mom
2026-08-28 20:23:36
0
Elias mayela :
love you mother @😰😰😥
2026-08-28 07:53:06
0
NYASI jr :
Tunao amini kuwa hii hali tutaitoa makwetu tujuane🙏🙏🙏🙏
2026-08-27 18:47:51
59
Carlos Steves :
one day jes🫡
2026-08-28 13:34:12
1
SulleGirl💕 :
ucku tulikua tukimbakizia chakula baba akirudi hali anasema hàna njaa Kila siku sisi tunalalamika baba hataki kula chakula chetu kumbeh alikuwa anafanya vile ili sisi asubuhi tusiende shule na njaa tule kile chakula chake🥲🥲I love you Baba
2026-08-27 09:34:28
21
NGEHURA HUSSEIN :
na anaesema vivo n mama pekeee like bas kwamamaaa🙏🙏
2026-08-27 22:16:00
7
🔥Vasco JR 4️⃣5️⃣🏆🧸🤟 :
umenikumbusha mbari sana ndugu yangu 🔥🔥🥰
2026-08-28 16:14:21
5
shedy@123 :
mungu ampe pumziko la aman kwa wale wakwetu waliotanguria bila kionja matunda ya uzao wao
2026-08-28 21:41:10
7
Bakari Juma :
daaaah unanikumbusha mbal mwan
2026-08-28 08:38:20
3
janethfrancesafari :
Mpk nimelia na kukumbuka mengi tuhh
2026-08-27 09:32:33
5
ASHIRAFU TZ COMEDY🇹🇿 :
😭😭 Tuwaheshim sana wazaz ndugu zanguni
2026-08-28 08:09:37
3
faithwasimba❤️ :
umenifany nimkumbuka mama yang 😭😭😭
2026-08-27 07:27:29
5
BRAVING&DON :
Umefany nifikilie bari sana 😳🥺
2026-08-27 08:28:47
3
reyvin :
jaman acha ivo najikuta nina macho y karibu siku iz sijui kwanin
2026-08-27 17:29:57
2
fidelisi ngakala :
dah kitambo sana kaka
2026-08-27 20:40:53
1
Mtoto Wa Kitaa :
nakubali sana umefanya nakumbuka mbali
2026-08-27 21:05:13
2
bravop :
jaman
2026-08-27 19:50:42
1
aisha(hefsiba)❤️🥰 :
mungu bariki kazi za kikon yetuu
2026-08-27 23:57:42
4
DRAGON STAR ⭐🐉 :
umenikumbusha mbali sana broo😭😭😭😭😭😭
2026-08-27 13:29:45
3
CASH_MONEY_TZ :
kuna mda mama zetu walitujali sana 🥺🥺
2026-08-27 09:23:44
2
Official💫 kicheche💯 :
sahihi kaka nakubal
2026-08-27 18:18:21
1
Debby :
jaman we achaty
2026-08-27 11:15:26
2
To see more videos from user @funny.mrp, please go to the Tikwm
homepage.