@blessedwithwealthfavor: #fyp #foryoupage

ms_verah888🔮🧿
ms_verah888🔮🧿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 14:51:03 GMT
16156
864
50
81

Music

Download

Comments

sarge875
Sarge 🇷🇼 :
mapenzi hayafundishwi... the heart wants what it wants 🤷
2026-09-13 17:51:08
0
vinyz68
vinzce🤑🤑 :
ndio kwa maana niliacha ku chase women🤣🤣🤣.my bank account is heavy,building n leveling up💯🤣🤣
2026-09-13 18:44:37
0
nassor_al.ferouz
vintage :
yani hiki kitu kwangu ni mia yani najifunza kupenda mtu. mambo ya kupenda haya yamenishinda😅
2026-09-13 14:54:23
1
aboubockery
aboubockery• AM :
sure for real lkn inakuwa ngumu sijui kwann yan
2026-09-13 19:39:13
0
johnmwasaru988
John Mwasaru :
kweli Dada kabisa
2026-09-13 07:49:56
4
omy.super
omy super :
nikwer kabsa
2026-09-10 04:56:15
4
morova.spices
Morova spice 🌶🍋🍍🥕 :
me nampenda but kumpa Hela jmn🥹🥹labda vitu
2026-08-26 16:23:53
5
rackson2341
livelife :
Apo kwa kujifunza nayo uongo moyo kama haupo haupo.. Yule yule mbaya ambae Anatakwa na wengi ndo twampenda atutese atuhangaishe, lkn bado tuko Apo 😂😂
2026-09-08 19:30:29
2
ramesses2n
El mara🦅 :
ni ukweli 😊
2026-09-13 16:35:06
1
regon173
r🇹🇿🇹🇿 :
Yani mm naletewa vitu jmn....naanza kumuonea huruma
2026-09-09 17:13:47
5
doshcatarias
Dosho Catarias :
ngoja nimtume akaibe bank akiiba mamilion tu ntajua ananipenda😃
2026-09-13 18:47:29
1
kinota_tza
kinota_tza :
👏👏umenisanua kitu
2026-08-28 04:41:20
5
izbania
izbania :
true
2026-08-29 08:47:21
1
rashidchid837
Rashid Chid :
upo sahihi kabisa
2026-08-28 15:48:48
1
jonajackson9
J.JONA :
kwan mapenzi ni biashara?
2026-09-13 21:47:19
0
mohammed.al.omary
Mohammed Al omary :
kweli kabisa maneno yako dhahabu. Acha mwanamke akupende yeye Sio weye umpende.
2026-09-05 10:34:14
3
brianbenard
Brian Benard :
Mm kama Mungu kanionesha ntampenda tu ila kama ni bila bila hata iweje ctampenda
2026-08-27 20:47:08
4
j.kotei
J¥© KOTEI :
dada mbna unaesema ukweli xana c unipende mm na mm ntakupenda
2026-09-07 07:14:46
1
darkrocky26
DARK ROCKY :
mim alikuja akasema ananipenda nkampokea Nampa tyu yeye anamda na mim apana nimeamuwa kubwaga
2026-08-28 13:23:54
1
hillaryavugwi
Chief Of Stuff🇰🇪 :
kipenda roho..
2026-09-13 22:52:59
0
guapa_718
GuApA :
kwer kbsa
2026-09-13 22:34:01
0
chekitabasamu
Cheki Tabasamu :
uzuri dada sio mnafiki umeongea point kubwa mno
2026-09-13 23:27:31
0
ngamamoja2026
ngama :
Siyo kweli
2026-09-13 20:45:46
0
hassanmadeda729
Abuu Hassan :
Si uje wewe kwangu 😂
2026-09-13 20:24:32
0
lennie0531
HELSA ELEGANCE 🛍 :
aiseee niongee kwa kukaa au kwa kusimama😂😂😂
2026-08-26 16:46:43
0
To see more videos from user @blessedwithwealthfavor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About