@itshusseinmkumbo: Mamia wapotea, wakiwemo watalii 291 baada ya mafuriko mabaya ya ghafla mpakani mwa Nepal na Tibet #BreakingNews #Habari #Tanzania #HusseinMkumbo #bonitech_computer #Airpodspro2
WALLAH TUPO KWENYE SIKU ZA MWISHO YAA RABBI YAA ALLAH 🤲🤲🤲 TUONGEZE YAA RABBI TUJALIE MWISHO MWEMA 🤲🤲🤲
2026-08-27 03:05:11
8
Wesley (Heavy Duty Mechanics) :
mbona kama ni kiama kimefika hayo so mafuriko aisee
2026-08-26 18:38:47
3
lrene minja :
mungu turehemu
2026-08-27 05:14:53
2
El rassady :
mie ninani niache swala,eeh
2026-08-27 16:06:35
0
Shamsi coach :
hapo ata uwe na speed gani uwezi toboa
2026-08-27 07:29:59
1
azeyza🌹 :
khusnul khaatima yaa Rabbi🤲
2026-08-27 04:31:37
0
jonasi :
pole nisana
2026-08-27 09:14:03
0
me💞💞💞 :
kiama kimekaribia jamaniiii tujitaidin kufanya ibada
2026-08-27 08:56:46
0
Lahai Lahai roi :
hii sio kawaida jamani
2026-08-27 08:20:26
0
Seif Kabelele :
ok
2026-08-26 18:33:24
0
kitambulio :
sasa wanajengaje katikati ya mto haya nimembo yakujitakia sehem yeyote yenya mfereji wa mto ni mwiko kuweka ujenzi ila shida sisi binadamu ni viburi na wajuaji sana
2026-08-27 07:39:40
0
akudobotion :
Wanahabudu san sanamu Nepal
2026-08-27 04:01:57
1
Mohmmad :
ukiwa na imani kama binadam lazima ikuume
2026-08-27 10:47:08
0
Joyce Gloria :
😭😭😭
2026-08-27 10:54:54
0
kakedy kanana :
😭😭😭😭
2026-08-27 09:02:23
0
mum 👑grace💝❣️ :
🥲🥲🥲🥲
2026-08-27 14:29:25
0
To see more videos from user @itshusseinmkumbo, please go to the Tikwm
homepage.