@miramedia8: #fyppppppppppppppppppppppp #trendingvideo

MIRAMEDIA
MIRAMEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 15:26:02 GMT
67934
2567
327
746

Music

Download

Comments

sabrinaanneth_butta
️Butta boss♥️♥️ :
yan ukitaka kucheka njoo kwa huyu dada😂😂
2026-08-26 16:10:48
234
tinahjo668
user92937326327547 :
Mbona siyo mbaya jaman au macho yangu
2026-08-26 16:41:30
123
gdeezzzevent
Hadozzzz :
daaah!!bullying
2026-08-27 01:28:29
0
gm29m
Gmarrie 🍀💗 :
😂😂😂😂anachekesha kam sio dada ako
2026-08-26 16:27:27
35
_.shawty2
_.shawty💋 :
jamani ametoka live au mbona simuonii😂😂
2026-08-26 15:57:03
42
fety0025
fetyochu02 :
lakin mbona sion kama ni mbaya
2026-08-26 16:43:00
54
weah.piano08
weah.piano08 :
Free mate 😂
2026-08-26 17:36:56
1
catherinedominic98
baby briannah❤️🥰 :
😂😂😂 yan ningekuwa mm ningetok live mda huo huo
2026-08-26 16:55:19
14
kellycassan72
KELLY CASSAN🇹🇿🇹🇷🇨🇳🇷🇴🌎 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dhambiiii
2026-08-26 18:59:17
1
depgal4
depgal4 :
ppy ataanza kukosa watu mana uyu dada anatibu mioyo n stres za watu😂😂
2026-08-26 18:56:59
14
qalbi64001
🌙🤍 Qalbi قلبي 🤍🌙 :
ivi inakuaj umamchukia mtu bila sababu 🤔
2026-08-26 17:19:36
5
adme.heart
ADME HEART :
UYU DADA MBN SIO MBAYA NI MZURI 2 AU
2026-08-27 06:51:41
1
gifth357
jeni :
dah kweli binadamu wanachuki uyu dada anaubaya gani shauli zenu wote mnao msema hamjafa hamujaumbika yangu macho. MUNGU so mjomba wamtu
2026-08-27 07:34:16
2
user3977783069960
phappy girl :
mbna watu wanaumbea kama humtaki siutoke kwenye live yake alafu ata so mbaya jamn ni wivu to
2026-08-26 17:46:09
5
nasmah723
Nasmah :
watu wanapenda sifa tu mdada wa watu Wala Hana sura mbaya watu wote mnaosema ana sura mbaya mngeonesha izo sura zenu
2026-08-26 16:50:32
7
tunupeter0
treasure :
Sio mbaya lkini jmni kiukweli 😂😂😂
2026-08-26 19:15:50
0
tinna8351
Tinna :
huyu dada mbna mzr sema watu tunasters
2026-08-26 21:39:29
0
softiegirl290
Official Fetty 💍♥️🙏 :
Mm. Ninge futa na Tk tok yenyewe 😂
2026-08-27 05:07:49
4
user8347552785422
gee roisly🦋❤️ :
😂😂😂😂ukifa tz na stress umejitakia walahi
2026-08-26 16:38:15
1
basedona8
Basedona :
yani huyu mdada sio hata mbaya ila sema shida imeanza pale watu walivyomchukia
2026-08-27 04:09:12
2
khatibukhatibukidunda
khatibu kidunda :
kwani kunaulazima kuwa live jaman
2026-08-26 20:07:40
1
mrsjohndawilliam
Sweet_john :
Jaman ichi kipindi mm nacheka sana
2026-08-26 16:40:11
3
To see more videos from user @miramedia8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About