Hapa jamaa hana kosa la aina yeyote hata akienda kituoni na kwaza serikali haiyamini ushirikina na mzee ameshindwa kujieleza angesema nimempa unga kwa ajili ya kupata ushindi wa simba sport club full stop na hana cha kumfanya
mm ningrshikilia anipeleke kituoni nishtakiwe.
2026-08-27 04:34:04
5
user9324448748792 :
sasa kosa nini mpaka mmrekodi mzee wetu hayo mambo ya kawaida michezoni mbona mwanachama wayanga alimwaga maji uwanjani hadharani mbona hamkupga picha huo sio saw
2026-08-27 08:40:41
5
Jbabu :
Si mambo ya mchezo hao
2026-08-27 06:10:50
3
G@MAFIYA :
Sasa wewe polisi olokosa gani kwani Mimi apo sioni kosa
2026-08-27 04:02:29
3
its_MICHAEL_🐲 :
UMEPOST ALAFU NDOIWEJE SASA
2026-08-27 00:01:48
3
Yusufu Chado🇹🇿🇶🇦 :
Hivyo mbona vitu vya kawaida sana
2026-08-27 04:04:01
4
Diana :
hiyo ni kadi ka Kosta sio simba msizalilishe timu isiyousika
2026-08-27 04:57:45
4
super bland :
Hamna kesi apo
2026-08-27 19:00:25
0
gaddafi💣🔕 :
huo unga niletewe nikasonge ugali mimi
2026-08-27 21:22:53
0
raya bakari :
mkome siku nyingine
2026-08-27 20:02:19
0
user3940945301685 :
adi aseme uyo
2026-08-27 18:09:51
0
Limo mohamed :
imekuaje!
2026-08-27 18:31:37
0
ibrazo✨✨😝 :
😏😏😏😳😳 mbona mnamzalilisha mzee wangu
2026-08-27 20:38:59
0
lib :
hamna kesi hapo
2026-08-27 19:06:27
0
Cosmas Paskali :
sawa nimeona
2026-08-26 22:51:07
1
TRIPLE L :
hii ya lini wakuuu
2026-08-27 03:01:19
0
Moddyinc :
Acha zipo niches tunjua sana mntka simba itoke mchezoni ila Allah ndio ajuae Mwanga sana
2026-08-27 01:28:41
1
Mnaiger :
Naomba tuondoke nae 😂
2026-08-26 20:44:05
0
chachala :
munamdhalilisha mzee wawatu ayo mambo siyakawaida kwenye mpila wetu
2026-08-27 13:41:52
0
Imtiyaz Mohanmed :
Mtaroga xna mwakaa huuuuu ila yanga hamuiwezi
2026-08-27 12:51:49
0
black wings :
kwanza ya zamani san
2026-08-27 22:09:50
0
CAMANDA :
tumekubaliana hakuna kuroga wala jumba la dhabi
2026-08-27 18:57:27
0
Ramadhan Mussa :
kwani nyie mmeona nn? serekali haitambui uchaw
2026-08-27 14:52:01
1
chachala :
munamdhalilisha mzee wawatu ayo mambo siyakawaida kwenye mpila wetu
2026-08-27 13:41:52
0
Mr,shax :
wapi apo
2026-08-27 04:32:58
0
To see more videos from user @eric_edwardelisha, please go to the Tikwm
homepage.