@jvckieseven: Squeezer na Dataz ni ndugu wa tumbo moja ya kaka na dada waliofanya poa sana kwenye muziki kwa prime yao kabla ya kugeukia mitikasi mingine. Wengi walikua hawaamini juu ya undugu wao hasa huu wimbo ulipokua umetoka miaka 19 iliyopita, mpaka pale wao wao wenyewe walipokiri juu ya undugu wao. Mwanadada Dataz alikua anasoma huku anafanya baada ya kuhitimu chuo kwa sasa anafanya kazi Bank na alishaamua kuupa mgongo muziki,,,,,,,,,,, watu wa tabata bima pale bank ya crdb nadhani mnamuonaga Dataz hapo 😁
JvckieSeven
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 15:32:11 GMT
Music
Download
Comments
Kenan :
Ni ndugu kabisa wote wanatoke Songea ndio kwao
2026-08-28 12:28:44
6
arafathamad365 :
enzizo nipo duniani😁
2026-08-27 06:26:48
1
prezzy Dar@21 :
eenh sijawaonaaaa kbsa miaka 30 dataz kitamboo ja joani😃
2026-08-27 10:42:13
4
sanga mahende :
miaka.30.sijawaona.hawa.
2026-08-27 08:06:54
2
DOCTOR FLOVIAN :
kitambo sana Iringa moja iyo
2026-08-27 07:59:28
3
sailo mr bukwo :
I used to mistake huyu jamaa na chidibenz🙆🏾♂️🙆🏾♂️that voice man🙌🏾🔥
2026-08-29 05:07:23
1
87legend :
100%
2026-09-27 09:16:40
0
elly the one :
bana old is gold
2026-10-01 17:36:48
0
Orezi Wizzy :
2008..apa
2026-08-31 12:35:22
0
MKUFYA :
2026-09-25 09:18:07
0
Amady bakari :
kitambo 2003
2026-09-25 06:46:32
0
saadamosh :
yaan leo ndio nimejua hawa ni ndugu aisee
2026-09-15 19:06:53
0
Owenah :
Huu wimbo maudhui
2026-09-25 18:12:47
0
Aliy kibopa :
kitambo
2026-08-26 19:09:22
0
craymax_tz :
2008 nouma mzee
2026-10-15 09:18:51
0
Amiry Chegamila :
IRINGA 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-27 01:51:38
0
MAHUBA_TZ🇹🇿🇹🇿 :
yani hizi video tulikuwa tunaziona quality tena HD ila sahiv sasa kama macho yanaukungu.
2026-08-27 14:37:42
2
juss :
Bonge moja la nyimbo aise😏
2026-08-27 15:29:00
1
kevoo :
watoto wa iringa mitaa ya uzunguni gangilonga
2026-08-26 19:17:29
2
meku-03 :
bonge la song
2026-08-27 08:24:08
0
ZANKA TRAINERTZ :
Dah uzeeeeeeeeeeeee huo
2026-08-28 01:01:31
1
user5113479318800 :
dataz ashakuwa kibonge
2026-09-09 10:46:27
0
user68569129313822 :
Sasa Dataz Mbona Ulikuwa Unaimba Kama wakenya
2026-09-16 12:21:12
0
naomy mpogole💕 :
💕 💕
2026-08-28 19:43:19
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.