jina mahaba anatolewa kwa maombi kwa jina la YESU KRISTO
2026-08-28 04:54:49
7
LastBornMe :
KWA YESU YOTE YANAWEZEKANA
2026-08-28 07:06:34
3
Ata Di :
uko fact sheikh
2026-08-27 13:52:21
1
Bint Hamza ♥️ :
asa tufanye mie nateseka mpaka nachoka😭
2026-08-28 07:01:10
3
Angele :
sasa anafukuzwaje
2026-08-27 18:37:15
5
hamisy saidy :
tupe dari io
2026-08-28 09:12:25
1
user7458737240063 :
nimekubali mm nimepeleka ng'ombe mbuzi kuku ndio usiseme yani shekhe tawile baba tawile nampaka leo nateseka
2026-08-27 17:47:19
7
fetylish :
naomba namba zake
2026-08-28 05:34:26
1
Fatuma Sungura :
nikweli hua anakuja anaondoka angekua anaishi wengine tusingekua hatuna namahusiano
2026-08-28 09:40:02
0
mwanajuma :
Sasa tufanyeje mana nimezunguka paka nimechoka
2026-08-28 04:08:11
3
Sophia :
2026-08-27 20:27:54
1
Mbawala fulko :
umeongea kweli kweli kabisa👍
2026-08-27 19:05:22
4
Anandumi.. :
bana nimekupendaaa
2026-08-27 20:10:44
1
💐hamilaty🌺🐝🐝🐝 :
mi anahalibu mimba mpaka namchukia jaman nafanyaj xijui at
2026-08-28 08:18:25
1
Khadija kipua :
Ni kweli kabisaa
2026-08-27 14:34:02
0
user7458737240063 :
kweli kabisa hostaaadhi
2026-08-27 17:45:10
1
MODISE 17 :
ukwel ndo huo🙏
2026-08-27 21:37:53
0
kalunde jr :
hapo nimekuelewa
2026-08-28 06:41:31
1
pendo luckasi :
sasa tunafanyaje jamani mbona tunateseka sana
2026-08-28 10:27:34
0
Nasra Moha :
Tufanyeje sisi wenye mahaba nimechoka mm ndipo naona mateso 😭😭😭
2026-08-28 07:12:34
0
lety :
Mimi nimeshatoka pesa mpka nimefilisika kwajil yailo jini saiv nimemuachia mungu maana nimesha achika malanyingi sana saiv nimeamuwa kutulia mungu atajuwa chakufanya
2026-08-28 10:27:44
0
amina hassan :
kweli
2026-08-28 07:11:29
0
sweetnoory :
huu ndio ukweli
2026-08-27 19:19:57
0
To see more videos from user @bongoplustv, please go to the Tikwm
homepage.