very true bro tell them cz many are brainwashed en deceived by religion en bcme slaves
2026-08-27 10:07:29
0
Dan2025 :
It's a fact 👍
2026-08-26 20:42:15
0
Sijah :
ongea vya kwetu achanana hao bwana unatuvuruga ujue
2026-08-26 17:26:44
2
Papy Mnyama :
Bora tu ume kubali kuwa yesu Ali kuwepo basi ume maliza hayo mengine namaliza mwenyewe na yesu wangu huni toi hapo
2026-08-26 21:41:10
3
Debsi Justin dread master 823 :
Leo umeongea jambo kb
2026-08-26 16:45:53
2
King S :
Iko wazi mungu hana kitabu
2026-08-26 19:29:24
1
Osward Mbijes :
Chionda mpakwa mafuta wa mungu 💯💪
2026-08-27 06:14:42
1
real_brayoo :
Asamehewe tuu
2026-08-26 18:30:11
0
MR X :
tuambie utamaduni wetu hatielewi ktu
2026-08-27 10:49:26
0
Ngumbi Mutinda :
nikweri 🤝
2026-08-26 16:51:03
1
Nas Khan :
hyo niuhakika yesu na kua na dini
2026-08-27 12:37:58
0
Chretus Anthony sinkala Sinka :
true
2026-08-26 21:41:56
0
Raphael Ngoda :
ukosawa mganga nice
2026-08-26 19:52:15
0
real zack :
huyu ni nabii
2026-08-26 19:54:27
0
Said wangubo astarco :
na alisema hakuja kwajili yawatu wema Bali walio potea
2026-08-26 20:12:40
0
john crever :
iko facti
2026-08-26 17:17:06
0
Juma Muta :
ukweli wa yesu uaujua tuambie aki alio sema
2026-08-26 19:51:29
0
Firstlady15 :
Fact..💯
2026-08-26 18:14:45
0
Bahati Kisumo Kabushi :
watu wanazunguka mwisho wa siku wanakubali yesu yupo
2026-08-27 14:20:01
0
Lazaro Mlula :
Hapa nmekuelewa vzr, mungu hana kitabu bali vitabu viliandikwa na watu kwa maono yao. Mfano injili kama ilivo andikwa na matayo yaan n matayo ndo aloandika kwa mawazo yake na fikra zake ila cyo mungu
2026-08-27 13:59:51
0
kibo empire :
naomba siku dr sulle akutane na chihonda nataa nione mapointy
2026-08-27 13:18:53
0
oneEfootball8 :
hapo mna muongelea muigizaj yesu hajawahi kuwepo
2026-08-27 04:42:34
0
ELPHAZ JAVAN AMON AMON :
cha msingi amemukubali yesu basssssiiiiii
2026-08-27 07:01:36
0
To see more videos from user @ngovi_tz, please go to the Tikwm
homepage.