@rfi_sw: Mafuriko makubwa ya ghafla nchini Nepal yameharibu barabara, madaraja pamoja na miradi ya umeme katika eneo la Rasuwa, karibu na mpaka wa Tibet. Collins Okaka na maelezo ya kina #Nepal #Floods #FlashFloods #Tibet #Rasuwa #Asia #Weather #NaturalDisaster #RFISwahili