@kuwa.millionea:

Kuwa Millionea
Kuwa Millionea
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 16:30:42 GMT
20086
572
16
13

Music

Download

Comments

generalphann
@General Phann :
It's all about Consistency.
2026-08-27 10:37:49
0
cleophacefilimbi
Annah :
sah8hi kabisa bn😂😂
2026-08-27 10:34:32
3
msakanoti
MSAKANOTI :
hapo nakubari kabisa familia
2026-08-27 04:28:57
2
wemarwanga
Wema :
@Wema:Sahihi Mimi Nikiwaga Na Laki Tuu Narizika It Means kwetu Pesa zingekuepo Sijui Km ningetoka kitandani🤣
2026-08-26 23:55:01
2
neneje.fyondi.ogl
nejeboy Gemini ♊ :
ni kwl kbs
2026-08-27 12:20:25
0
juliusmasobreezy
@jully-ph :
siku watakayooo ………… utaachaa
2026-08-27 14:25:55
0
emanuelmselele
vms motor :
heshimu mtu yeyote
2026-08-27 09:28:35
0
noelmotilal472
Noel Motilal :
kweli
2026-08-27 07:27:47
0
khajially878
khajially878 :
Mimi naeshimu m2 wa aina yoyote.
2026-08-27 09:27:58
0
novakhan39
NovaKhan :
Kuendeleza Biashara ni kazi,Pia Me namheshimu sana
2026-08-27 09:23:05
0
marymasule8
marymasule582 :
kwel aseee mi nikiwa tu na M5 kwenye akaunt naridhika😂😂😂😂🙌,tuwape heshima Yao
2026-08-27 07:51:20
0
athman.ali76
المكتبة العثمانية :
Mimi namheshimu kila anayeitwa Binaadamu, hata awe kichaa. Hadhi ya Ubinaadamu ni kubwa kuliko hizo fedha na majumba. Ndio maana mnadharauliwa na wenye navyo.
2026-08-27 05:00:25
2
hasheemcana
𝓗𝓐𝓢𝓗𝓔𝓔𝓜🦌📿🥀 :
Wew ujielew unajua ugumu wakupata capital kuidevelop kufika apo
2026-08-27 07:04:08
1
new.empire5
New Empire :
No risks taken na kaziliwa na safety net ya kuchezea hela na kufanya biashara comfortably. Hamna respect yeyote hapo
2026-08-27 15:04:30
0
user9945702429617
mwafrika halisi :
no no no no bro pesa haipo kwenye kufanya kazi kwa bidii,,kulala na mafanikio havina uhusiano isipokuwa ni jins utavyojipangia ratba zako tu na kujua unafanya nn ili iweje na kwa mda gani,,Mtoto wa maskini huwezi muheshim tengua
2026-08-27 12:36:23
0
sam.sports34
sam sports :
🥺🥺🥺
2026-08-27 08:10:22
0
To see more videos from user @kuwa.millionea, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About