kwa mtu asiyejua mziki hawezi kumuelewa huyu jamaa kabisa 🖐️
2026-08-26 18:33:41
24
MrPaul Talents :
bro abe keep up...hii atar
2026-08-26 18:58:15
0
hosea godfrey :
huyu jamaa ndiy engineer wa mziki kwa gwajima
2026-08-26 18:47:20
6
EMMA🙏🌾🌾🍚 NAKONDE RICE :
eeeeeee
2026-08-26 17:48:55
0
InMyFyp♾️ :
is True ✅
2026-08-26 18:48:04
2
Mtembezi🇹🇿 :
uyu jamaa yupo bongo au🤔
2026-08-26 18:31:31
1
Herode :
mbona bei za kawaida tu,shida tunapenda ujanja ujanja
2026-08-26 18:51:57
1
INNOCENT :
huyu jamaa ni nani
2026-08-26 17:54:24
0
Miss.geezy :
Sasa jamani Kuna wasanii wakubwa tu wanafanya show kwa 2-3-5M. Sasa kwa malipo hayo unahisi aki recommend mic ya 10 M atapewa kweli? Tukubaliane tu mazingira ya sanaa kwa bongo bado sana na huu ndiyo uhalisia, yaani sisi tunatumua vinavyopatikana na si tunavyovihitaji.
2026-08-26 19:40:51
2
Wanjara Eliasi :
jaman hzo hela mnazotamka mbona hatar jaman kweli kusitamka sio nzur
2026-08-26 17:27:55
0
TOTO la boss :
BONGOO TUNADANGANYANA MPAKA SISI KWA SISI KWELIII
2026-08-26 19:35:31
0
Ezraeli Edward :
weeeeeee jamani mnanichanganyaa
2026-08-26 18:43:58
1
Eng. Danny DelaBasS :
ABE professional sound hudanganyi kaka sisi ma sound engineer ndo tunaelewa baba
2026-08-26 18:36:32
0
. :
Uyu Nani Tena 😁
2026-08-26 18:31:49
1
Mapaa :
bro Abraham! mtu sana
2026-08-26 18:38:57
0
Moo click :
kitu mnasahau ni kwamba anae zungumza Akisha pewa nahitaji lazima atampa Mteja ambae kwa kesi yake hizo hela zimetolewa na CRDB Bank..mwamba ana coordinate tu
2026-08-26 18:21:04
0
Immamarenge :
mfano mziki wa Gari yangu ndogo ni Mili 3 na Watu awawewzi Amin namna Mziki una Garama
2026-08-26 19:46:17
0
pangraminvestments :
aiseee
2026-08-26 19:16:49
0
HABIBU SOUND 💥💥💞 :
ila bongo 🤣🤣🤣🤣🤣😁😁 kama watuu hawajui kabisa
2026-08-26 19:11:20
0
The Audio Steward :
Hongera sana. Vifaa vizuri sana hivi 🙌🏿🤝
2026-08-26 19:50:28
0
Dwayne :
🙌🏾 nomaaa
2026-08-26 19:37:01
0
Dsm Explorer :
ABE muacheni tu , ameinvest kweny mziki
2026-08-26 19:51:19
0
Francisco Mwafubela :
mmmmmh mbona balaa
2026-08-26 17:13:37
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.