This is my best song of my mimd especially for now
2026-08-26 17:15:06
0
mamy_kiface Cosmetics :
najua hunipendi ila nitajitahidi nisiumie 😩🥹🥹
2026-08-26 17:06:41
3
hussein4g :
bro melody yko amechukua jay melody nyimbo yke mpya (upweke)
2026-08-27 04:04:00
2
@brandkiddy6 :
aloooh hii ngoma jamani usiiishie kuangalia na kusikilza cripu kai search usikilze mwanz mwisho ni ngoma tam snaa, pongeez bro adam berry💯🔥🔥
2026-08-26 17:45:10
1
YeYe Mardin :
the best
2026-08-27 05:53:44
0
hilz de baddie :
my favorite ♥️♥️🥰🔥🔥🔥
2026-08-26 19:43:47
0
Nivoh lyrics 💦 :
sijawai lala bila kusikiza nyimbo ya ya connection oa ni 🔥🔥🔥🔥
2026-08-26 18:40:14
1
Adan Cuby (Desert boe)🇰🇪 :
inacheza kichwani kimoyomoyo😌😭
2026-08-26 21:54:46
0
Jeremiah Hemstone :
Big up my kaka ngoma iko lit
2026-08-27 12:33:54
0
saymon :
noma sana
2026-08-27 06:54:00
0
Edrisa :
nikweree nakubalii sanaaaa
2026-08-26 17:03:57
0
Marii tz :
Adam hii nyimbo kama uliniimbia mm kila napo lala naiweka repeat mpak asubuhi kuna shem wako ananifanyia ugaid
2026-08-27 06:09:05
0
#✝️☦️👑 :
tajiri niaje hapo kaka
2026-08-27 04:51:49
0
zungu ☆ hair artists 💈 :
lazima ujue kutofautisha baridi na upepo ila adamberry🔥
2026-08-26 20:41:50
0
Remix :
mbona kaka una hit congo 🇨🇩 tunafatiliya sana mziki wako congo ila naona kama watanzania hawa ifatiliye mziki wako mbona wana roho mbaya ivi endeleya mbele kaka nakuona ga juuu sana kilasiku
2026-08-26 22:56:03
0
𝐺𝐴𝐿𝐴𝑋 mwiter :
😌😌😌
nilale nyimbo nilio kuwa naisubr ishatoka
2026-08-26 19:04:40
0
🛑RealDbrown_099🛑 :
"Na kam ukibahatika kuishika dunia mikononi niweke kivuli, Nihurumie japo najua we kunijali sio yako desturi🥹" bro uliwaza mbali san ila bonge la song👊👊💯💯
2026-08-26 18:08:40
0
john kay 9724128 :
My bro l see you
2026-08-26 17:26:28
0
Bano Bizzy Tz :
Shabiki Ako apa namba Moko🔥🔥🎶
2026-08-27 12:34:35
0
𝗧𝗵𝗼𝗺𝗲 𝗖𝗵𝗼𝗿𝘂𝘀 🎶 :
mkali wang 🔥
2026-08-27 16:39:02
0
tibaijuka🦋❤️🦋 :
na kama ukibatika kuishika dunia mikonon niwekee kivul😭
2026-08-26 17:51:42
0
PARE BOY :
Ma gee
2026-08-27 07:02:36
0
To see more videos from user @adamberry_tz, please go to the Tikwm
homepage.