Mm pia nilichukua balo la nguo za watoto nilichokuta ndani ni msiba😭😭
2026-08-27 13:53:18
3
Nathy_collection :
pole sana,
2026-08-27 20:03:52
0
lucy Massawe :
uwiiii,naogopa
2026-08-27 19:28:43
0
Kokulinda 💄 :
Mi ngoja ninyamaze mana mwaka 2022 nilikutana na kitu kizito ila sijamtaja mimi😏
2026-08-27 18:56:13
0
Fatma Trends :
Nenda kwangu hapo uwone nilivyokutana navyi
2026-08-27 13:56:55
0
🐦🔥kadall🐉 :
bebeo la mtoto shingapi
2026-08-27 20:03:25
0
merry🦋🦋 :
bebeo l mtot dear
2026-08-27 11:07:37
0
🦋mimi🦋 :
unanitisha mbon nimtaka kuagiza balo la watoto
2026-08-27 11:26:51
0
Tee_outfit :
sina hamu mm nilichukua balo ya blazers ya uturuki nilichokutana nacho 🙌🙌🙌🙌 pesa ikaenda
2026-08-27 08:50:12
0
irene_store_95 :
Mm nilichukua balo kwa mshiko store jeans zote zimelowa nikarudisha n takataka tup Mungu Ndio atanilipa
2026-08-27 17:58:34
0
Beyond sweetest cake & bites :
Nilichukua kwake balo la pochi niliwek msiba n aligom kuni refund akasem labd ninunue lingine awe anapunguza ile pesa ambay nimepat hasara irud kidg kidg nililia nikaach n biashar ya pochi
2026-08-27 13:01:42
0
zainabu daudi :
mmmhhh poleni jamni wengine tunatamani ila tunaogopa hapotu
2026-08-27 15:15:22
0
Neeya@lee :
daaah polee
2026-08-26 21:23:12
0
lady tee💦💫 :
Mimi niritaka kuagiza balo la magauni
2026-08-27 12:02:24
0
tawhida422 :
Mm nilichukua kwa uyo oyo balo la gauni lak88 nilikutana na ronya
2026-08-27 10:29:07
0
muniee_trendzᥫ᭡ :
Mm sina hamu na mitumba 🤣🤣🤣 nimepata hasara na madeni juuu 🤣 Enewei poleee
2026-08-27 17:54:16
0
TREZAH MITUMBA :
rudisha ndugu apo usipate shidaa mama izo mimi nafanyaa iyo biashara chsngamka mama
2026-08-26 21:04:58
0
Northern Wear :
Niliagiza makoti ya Korea sina hamu
2026-08-27 08:22:41
1
J....🦋🎀 :
upo wapiii kwani tuje
2026-08-27 09:31:13
0
Fetty mtumba💓 :
Nilichukua gaun kwakwe mmmh
2026-08-27 12:05:55
0
@Ashura_outfit :
Pole sana dear, Mm nilichua bale ya mtoto kwake na imetoa vzr tu
2026-08-27 18:26:01
0
lucky beauty :
nilichukua balo la pochi nililia nililia sisahau yani hamna pochi yakuuza ata 7k
2026-08-27 16:26:34
0
To see more videos from user @getrudalucas926, please go to the Tikwm
homepage.