@thechanzo: "Kama watu wachache wanaishi maisha ya fahari fahari na watu walio wengi hawapati hata mahitaji yao ya lazima, hatuwezi kudumisha amani na utulivu nchini mwetu," Nyerere-Agosti 16, 1990.
hayo uliyoyasema ndio yapo kwenye nchi yetu kwa sasa watawala wamejilimbikizia mali kwa wizi, ufisadi, unyang'anyi, rushwa, uporaji na dhuruma za kila aina kazi yao ni kuhubiri amani huku wanatisha, kuteka, kubambikizia kesi na kuua kila mtanzania mzalendo anayewakosoa au kuhoji maovu yao
2026-08-27 08:16:20
0
TATA BM🦅🇹🇿(NYEBHOSA) :
Alikua nabii
2026-08-27 06:27:11
0
iam_baraka93 :
Tutateseka sana kweny nchi yetu inaumiza kufanywa mjinga 😭😭😭😭so sad ukishiba uwez mkumbuka maskin utaona anapiga kelele ty akilia njaa
2026-08-26 23:06:17
0
WILLNEA POINT mtumba :
kipindi hicho waliona kama utani
2026-08-27 07:12:17
1
Guramali Abbas :
Mungu ibariki Tanganyika 😭😭
2026-08-26 18:53:39
0
⚡ᏀᎾᏞᎠᎬN ᎻᎬᎪᎡᎢ✨ :
huyu ndie alikua jemedari hakuna mfano wake
2026-08-26 19:07:53
0
To see more videos from user @thechanzo, please go to the Tikwm
homepage.